Warembo wetu jamani vimini mhhhh

Wote wanafaa kuwa wake, unaweza kuoa na ukaweka ndani na akakuheshimu siku zote. Kwani kipi atakiona kigeni hata akiangaikie? mradi anapata yale mahitaji ya msingi atatulia tu. Wewe angalia figure unayoipenda ufanye maamuzi tu! Mbona watoto wanaita? Mimi ninachoweza kukikemea ni kule kujichubua!! Kuondoa Melanine ya ngozi kuutaka weupe!!! Hicho nakipinga sana; ila kusema ukweli watoto hao safiiiii!!!

Kama huyo mwenye ya zambarau au huyo mwenye nyeusi kati ya hao safi tu!! :redfaces:
 
POPOTE WAWAPO.....kuna wachungaji wa makanisa wanakwambia MUNGU/IBADA si mavazi...... kwamba ni sawa tu.....! enyi wachungaji wa staili hiyo labda muwe mna mbingu yenu na si ya YEHOVA
 
:angry: AAHHHHHHHHHHHHH YAANI WAMEPENDEZA KWELI KWELI ILA KIUFUPI NI KUWA UKIMWI HAUTAISHA KWA HALI HII YA KUJIANIKA MAANA KILA MWANAUME ANATAKA SIJUI WAMPE NANI WAMWACHE NANI!!!!!!!!!!!!!
 
Hawa ni machangu doa kuvaa hivi ni halali yako, anae walaumu kwa kuvaa hivi ni kwa sababu anatafuta mke kwa kuangalia picha kama hizi, otherwise, waache wafanye biashara
 
huyo mwenye makovu magotini atakuwa stadi kweli kwlei wa style ya mbuzi kagoma kwenda huyo....by the way hawana vigezo vya kuwa wake....hawa ni wa kwenda nao twanga na akudo basi....mama gaude ushanifahamu lakini!!!!
 
Waacheni!
Nchi huru hawajatenda kosa mnawasemea nini sasa? Kama hawakufaeni nyie, kuna wanaowafaa. Ukitaka mwenye kujifunika gubigubi unajua wanapatikana wapi.
 
Hii kata kei mie hoi!@@

SI851737.JPG
 
Sitaki kuwahukumu moja kwa moja kuwa ni machangu ila ninachoweza kusema ni kwamba wamevaa sare za machangudoa.
 
Back
Top Bottom