Warembo wetu jamani vimini mhhhh

sasa utamu wote upo nje,mmmmmmmh no more comment:embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::smash:
 
jamani hizi ni evening wear tena wapo club. sioni kama kuna ubaya kwa hayo mavazi usiku jamani.
 
sasa utamu wote upo nje,mmmmmmmh no more comment:embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::smash:

Ndio hivyo tena mkuu! Biashara ya ndizi mbivu, lakini zimesha tolewa maganda kabisa, sijuwi kama zitalika. Lazima zitakuwa zimejaa vumbi na mainzi wamesha zing'ong'a sana. Mimi sizitaki.
 
Yeuwiiiiii halitasalia jiwe juu ya jiwe labda migomba tu kwa vile ina maji!!!!!
 
13v.JPG
12.JPG
tcc.JPG

biashara matangazo au hamlijui hilo
 
Ngoja wachiachiie wakifikiri dili, baadaye kwa sangoma kwanini hawaolewi, hii ni kutokana na mantiki kuwa yawezekana wasiwe malaya lkn muonekano kama huo ukamhamisha muoaji kifikira.
 
Back
Top Bottom