Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

Turn down for what
Wakazie man,halafu ongeza nguvu yako ya ushawishi hao n bendera fuata upepo
 
Mke mwema anatoka kwa Bwana, so usiwaze sana we fanya maombi na hakika atatenda.

Anaekuuliza maswala ya kuoa na kukuambia umri umefika yeye anajuaje umri wako wa kuoa?
 
Ahsante.

Halafu mkuu, ushawahi kuombea kitu hadi ukahisi unakosea kuomba / au umesusiwa? Ndio hali inayonikumba kwa sasa
 
... Imefikia hatua nawaogopa wadada wa kibongo, natamani labda nitafute raia wa nchi nyingine / mzungu etc.

go for it nigga...just go fot it...

it's about you do what's good for you...mapenzi ni kuwa na furaha na uliyenaye

ukipata nafasi ya kudate mzungu, mwarabu, muhindi etc never hesitate mkuu...you never know

Wiki hii nzima nimekua nikiwaza na kuwazua nakosea wapi.

Binafsi sioni mahali unakosea kwa jinsi ulivyojieleza...wao wanaokukataa ndio wanaokosea...

Usimlazimishe manzi ima faima, akikataa wewe sepa zako maana wadada wengi huwa na multiple minds...anaweza akawa na wewe vile anataka ndoa tu lakini kihisia yupo na bwana wake aliyetosana naye sometimes back....

Umri nao unasonga, hakuna gf wala mchumba inanipa stress sana sana. Kijana ukishafika miaka 30+ , shule umeenda na una ajira/shughuli za kukuingizia kipato cha kutosha kila mtu anatarajia kuona unakua na familia, maswali ya unaoa lini yamekua mengi hadi wakati mwingine napanic vibaya sana.

Huna sababh ya ku 'panic'...hao wanaokuuliza unaoa lini sio utaoishi nao katika ndoa yako...

Ups and downs za ndoa yako hazitawahusu hata kidogo na si ajabu hao hao watakushauri tena, "hebu tafuta mwanamke mwingine" endapo mambo yakwenda mrama...

Take your time, ishi maisha yako na zaidi huwa hakuna umri eti ukifika ni lazima uoe...

Kama kuna mdau anaemfahamu mwanasaikolojia wa mahusiano , naomba aniunge nae nipate na ushauri wa kitaalamu pia.

Why do you need a psychologist? listen young fella, you're the boss of your own happiness...hao wanasaikolojia hata wao wana matatizo yao...
 
Hapana

Hua nakataa kabisa girls wenye umri mdogo
Kama sio ivo yawezekana nawe ni mchaguzi sana. Hahaaa wataka waremboooo. Na kama sio ivo basi ni kwamba wa ridhiki yako bado.
Bt jitafakari wewe upoje? kimuonekano, kiuchumi na mengineyo.
 
go for it nigga...just go fot it...

it's about you do what's good for you...mapenzi ni kuwa na furaha na uliyenaye

ukipata nafasi ya kudate mzungu, mwarabu, muhindi etc never hesitate mkuu...you never know

Binafsi sioni mahali unakosea kwa jinsi ulivyojieleza...wao wanaokukataa ndio wanaokosea...

Usimlazimishe manzi ima faima, akikataa wewe sepa zako maana wadada wengi huwa na multiple minds...anaweza akawa na wewe vile anataka ndoa tu lakini kihisia yupo na bwana wake aliyetosana naye sometimes back....

Huna sababh ya ku 'panic'...hao wanaokuuliza unaoa lini sio utaoishi nao katika ndoa yako...

Ups and downs za ndoa yako hazitawahusu hata kidogo na si ajabu hao hao watakushauri tena, "hebu tafuta mwanamke mwingine" endapo mambo yakwenda mrama...

Take your time, ishi maisha yako na zaidi huwa hakuna umri eti ukifika ni lazima uoe...

Why do you need a psychologist? listen young fella, you're the boss of your own happiness...hao wanasaikolojia hata wao wana matatizo yao...
Ahsante mkuu, be blessed
 
Yani unampata mdada unaanza kumwambia ooh nataka tuwe na relationshio mzee vipi? Wewe nenda nae kimazingira siku amekuja home saula, kula mzigo hapo relationship yenyewe itaanza sio hadi utangaze ukishaambiwa sina mtu na manzi hio ni greenlight tosha cha msingi ni kumuweka karibu na kutengeneza mazingira ya kumla tu...
 
Binafsi kwenye wanawake 10 niliokutana nao na kuwataka nimekosa 1 tu... Na huwa nakuwa nao ndan ya siku 2 au 3 tayar nishajua kama tu wapenz tayar...
Nowdays nimeamua kutulia so huwa nafunga macho kabisa nikiona mrembo, maana naweza kumumfuata ikawa balaa
 
Hitaji lake ni mpenzi ambae pengine itawapelekea hadi kuoana. Sasa kuwataka warembo sio shida ,. shida ipo kwenye hatma ya hao wawili je wote wamenuia mamoja? Most of warembo tunasaka ngawira tu kwenye mahusiano.ndoa tunawaachia wenye wito wao.
Kwani shida iko wapi kwa mwanaume kutaka wanawake warembo. yuclighty
 
Hitaji lake ni mpenzi ambae pengine itawapelekea hadi kuoana. Sasa kuwataka warembo sio shida ,. shida ipo kwenye hatma ya hao wawili je wote wamenuia mamoja? Most of warembo tunasaka ngawira tu kwenye mahusiano.ndoa tunawaachia wenye wito wao.
hela anasema anayo, ajira anayo, sasa anakosa nn? .
Mwanaume kuwa na pesa ni sawa na Mwanamke kuwa mzuri.
 
Hitaji lake ni mpenzi ambae pengine itawapelekea hadi kuoana. Sasa kuwataka warembo sio shida ,. shida ipo kwenye hatma ya hao wawili je wote wamenuia mamoja? Most of warembo tunasaka ngawira tu kwenye mahusiano.ndoa tunawaachia wenye wito wao.

Mmh umeniacha mbali, maana ya "ngawira" ni nini? yuclighty
 
Mkuu usichoke, Mungu hachelewi wala hawahi kujibu ila kaa ukijua siku yako ipo na usiforce maana it won't work out

Back
Top Bottom