Warembo wa Wiki..

nimeacha aisee
nilianza ku feel out of place..
ukishafikisha 30..concerts za bongo fleva
zinaanza kukuboa...
.
unakuta watoto wa shule wengi....
siku hizi mimi ni mduara tu.....na dansi..

Tupo pamoja!
 

Teh teh teh teh teh teh teh teh ........................kwisha habari yako!:becky::becky::becky::becky::becky:

Unaweza tamani uvue designer package yako !
 
Oooooh wanatudhalilisha, hii nini sasa kama hamjidhalilishi wenyewe?
 
huyu akikakaa si ndio balaa

Hivi maana halisi ya kuvaa nguo ni ipi jamani,maana nijuavyo ni kusitiri mwili lkn pia upendeze,mbona sijaona aliependeza au ni macho yangu:glasses-nerdy:
 
lady bwana ucnichekeshe mie, yaani hakuna kitu nachukia kama machupi ya rangi rangi.
Nyamayao sikujua kama kuna watu bado wanavaa machupi ya rangi hiyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Duh....hivi vinguo vingine dada zetu muwe makini,maanake hata ukicheka tu mambo yaweza kuwa hadharani.

du uyuy wa kati mwanangu atanletea matatizo icho kinguo na uwo ubluu apo kati mpaka udendaaaaaaahh
 
Hivi ni kwa nini waitwe warembo?Urembo wao upo katika nini hasa?Kukaa uchi?Au..........nadhani jina warembo linaweza kuhamasisha tabia hii iendelee. Je wale wanaovaa nguo za heshima wakajipamba na wakapendeza tuwaitaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…