warembo haswa.....lakini kuna binti hapo kwenye picha ya chini kabisa kulia,gauni lake liko wazi mbele linaonyesha BRA na kufuli.....labda mi mshamba lakini naona kavuka mipaka.......mcheki hapo chini vizuri.... amevaa purple mini dress kushoto kwa mzee hapo......