Warembo wa Wiki..

Warembo wa Wiki..

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,795
Reaction score
129,624
9.JPG

Duh....hivi vinguo vingine dada zetu muwe makini,maanake hata ukicheka tu mambo yaweza kuwa hadharani.
 
zamani wasichana wa aina hii unakuta wanaishi masaki hivi
au wamekulia nje ya nchi..
but these days utakuta hao wote ni wa uswazi...
tandika,keko mwanga,vingunguti hivi...yaani....
 
zamani wasichana wa aina hii unakuta wanaishi masaki hivi
au wamekulia nje ya nchi..
but these days utakuta hao wote ni wa uswazi...
tandika,keko mwanga,vingunguti hivi...yaani....

Ahahahahaaa....kweli aisee. Siku hizi sio kama zamani.

Last week nimekutana na demu kabeba purse/ bag ya Louie Vuitton halafu anashuka kwenye daladala iliyokuwa inatokea Kiwalani....sasa nikajiuliza...hmm hivi hiyo Louie ni authentic au bootleg.....nikashawishika kuwa ni bootleg kwa sababu huwezi kumudu kununua Louie authentic halafu upande daladala
 
hiyo louis vuiton ya kutoka china
zipo kariakoo kibao.mpaka viatu vyake.....

siku moja nilienda diamond jubilee kulikuwa na concerts ya bongo fleva....
nilijuta.....
karibu ukumbi wote wamejaa watu kutoka mikoani..
utasema nilikuwa nje ya dar....
siendi tena now.
siku hizi watu wanatoka vijijini wanajua kuvaa vi top na tight jeans kabisa...
unakutana nao mjini wanakuuliza muhimbili ipo wapi unashangaa
 
hivi unawatambua vipi hawa??
 
Ahahahahaaa....kweli aisee. Siku hizi sio kama zamani.

Last week nimekutana na demu kabeba purse/ bag ya Louie Vuitton halafu anashuka kwenye daladala iliyokuwa inatokea Kiwalani....sasa nikajiuliza...hmm hivi hiyo Louie ni authentic au bootleg.....nikashawishika kuwa ni bootleg kwa sababu huwezi kumudu kununua Louie authentic halafu upande daladala

NN kuwa makini.....utapigwa sana michanga ya macho....wakina HAVINTISHI 'wabaya' kuliko akina SHANIQUA.....
 
10.JPG

Miss Higher Learning 2010,FLORA MARTIN......
 
unawajua tu..
Hata kiswahili kilikuwa kinawashinda....

sawa mkuu....ila nimefurahi sana kujua kuwa unakwenda kuangalia CONCERT ZA BONGO FLAVA............
 
Mmewaletea vivazi bila ya kuwaambia wenzenu wanavaaje. They end up looking like hood rats.

Utavaaje nguo sidiria ionekane?! That's a no no no Tena sio kuonekana mikanda kwa juu tu hata kwa chini ya nguo ni lack of class ( zipo sidiria maalum ambazo mikanda yake kuonekana imepewa exception)
hiyo sidiria pata picha iwe chup.i watu watakufikiriaje?

Huchoka nikiona mtu kavaa nguo sleeveless Kisha kwapa usafi wake wa tabu tabu. Gross
 
nimeacha aisee
nilianza ku feel out of place..
ukishafikisha 30..concerts za bongo fleva
zinaanza kukuboa....
unakuta watoto wa shule wengi....
siku hizi mimi ni mduara tu.....na dansi..
 
Afu' Mkuu RRONDO, umenichefua kidogo kuwaita warembo, ni vichangudowa tu ivi!
 
Back
Top Bottom