MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,804
- 8,159
Jana mejeshi ya nchi wanachama wa NATO yamewasili kisiwa cha Greenland lengo kukilinda kisiwa cha Greenland kuzuia kunyakuliwa na Trump.
Sasa najiuliza swali hapa wakati wanakusanya mabegi yao pale kambini Poland waliwaaga wenzao ambao ni askari wa USA kwamba wanakwenda kupigana na nani najiuliza hivi kwa sababu ADUI yao yupo hapo kwenye makambi Poland anawachora tu wanabeba silaha ya aina gani ????? huku ukicheka,,, comment yako nini wazo lako nini kinachokuja kutokea mambo ya Iran yameshaisha tujikite Greenland