Warembo wa kinyarwanda Vs wa kichaga wapi wanakimbiza?

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
Hawa warembo wa kichaga na hawa watoto wa kagame wanaonekana kuwa warembo kweli kweli.

Nina ndoto za kwenda kilimanjaro kutafuta karembo huko.

Lakini nina ndoto za kwenda Kigali kutafafta mtoto wa Kagame.

Binafsi hawa warembo naona wako na mvuto kweli.

Sasa tuache yangu.

Je kati ya hawa ni wapi wanaonekana kuwa lulu zaidi mbele ya macho ya wanaume?


Binafsi nishashindwa kupata hitimisho.
 
hawa warembo wa kichaga na hawa watoto wa kagame wanaonekana kuwa warembo kweli kweli.

nina ndoto za kwenda kilimanjaro kutafuta karembo huko.

lakini nina ndoto za kwenda luanda kutafafta mtoto wa kagame.

binafsi hawa warembo naona wako na mvuto kweli.

sasa tuache yangu.

je kati ya hawa ni wapi wanaonekana kuwa lulu zaidi mbele ya macho ya wanaume?


binafsi nishashindwa kupata hitimisho.

Luanda ipo Angola mkuu
 
Kadri siu zinavyoenda mimi huwa nazidi kuwakubali wachaga japouwa wana kasoro kasoro za hapa na pale!

ofcoz linapouja suala la urembo, japo hawajui jinsi ya ujiweka smart sana laini wako vizuri mno compared to Rwandans, wale wanawahi kuzeeka mno aisee!!


Nishakutana na wachaga kama watatu hivi! so cute kwa kweli!

Kasoro moja tu iliyowafanya wasiwe na mimi____ wafupi sana!!

kiukweli mimi siwez kuwa na mwanamke anayenifikia wenye kiwiko! lol
 
nadhan mleta mada ana maana nyingne iliyojificha lakin kama ni hii inayoeleweka waziwazi basi ni sawa na kulinganisha U.S.A na Tanzania
 
mmmh wachagga na wanyarwanda ni warembo! Hawaendi chooni? na wakienda huko wanajisaidia cake na juisi?
 
kwi.kwi.kwi..JF bana, dah.... jamaa hajui hata kusema Rwanda atapata kweli huyo mrembo. Kwa wachaga atakaua anafata mali tu huyu.

nitapata tu, nilichaanganya madesa kwa ubongo.

kwani mabinti wa kichaga wanazo sana?

mimi nafata urembo wao
 
hawa warembo wa kichaga na hawa watoto wa kagame wanaonekana kuwa warembo kweli kweli.

nina ndoto za kwenda kilimanjaro kutafuta karembo huko.

lakini nina ndoto za kwenda Kigaali kutafafta mtoto wa kagame.

binafsi hawa warembo naona wako na mvuto kweli.

sasa tuache yangu.

je kati ya hawa ni wapi wanaonekana kuwa lulu zaidi mbele ya macho ya wanaume?


binafsi nishashindwa kupata hitimisho.
Jf imevamiwa kweli kweli,hiyo mada yako ungepeleka kwenye blog za kichaga,pili punguza ujinga la sivyo utabakwa,,,jadili mambo ya msingi
 
Back
Top Bottom