Yaani nimecheka, kumbe machimbo ya waarabu wasiokuwa na zengwe mnayajua maana mie nilijibu aende Nzega kabla ya kusoma comments...nilichokutana nacho ni maelekezo yale yale ya kuelekea ukanda wa Tabora
Ukiingia Katavi watakuona matawi ya juu mkuu kama vile Wanyarwanda wanavyobabaikiwa na wabongo huku ukienda maeneo ya Karagwe na Ngara wanawanyanyapaa wanawake wa Kinyarwanda