ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
kumbe nshawaona..
Mimi sijaona warembo bongo naona wahindi weusi tu na miwigi kichwani
Mkuu yeye jinsi nyingine, bila shaka umefanya maskhara tuHuyo mrembo mwingine wa kwanza kushoto amevaa suruali ya blue na shati nyeupe, kiatu cheusi, mbona kajitenga pembeni kwa warembo wenzake?
Kaolewa na jamaa lina wivu kinoma
Hawa wapo hapa Jf?