Mbona wadada wa JF mnapenda kujificha

Mbona wadada wa JF mnapenda kujificha

pisi kali ziache kushinda tiktok, insta na facebook zishinde JF kweli?
Huku haijalish sura yako au umbo lako likoje, as long as umejitambulisha kama Ke utapata attention ya kiwango unachohitaji. Maneno yako tu yatafanya PM ijae wakwale.
 
Sio kweli nimekutana nazo baadhi, sio pisi kali ila michango yao humu. Vijana wanavyowapapalikia wakidhani ni pisi za kwenda. Na wengi ni 25+ yrs ndio maana wengi wao wako vizur financialy & upstairs
Aloo acha kabisa.
Mimi nimekutana nazo baadhi pia, zote ziko poa, zimejazia, zimeenda shule na pesa wanazo si haba
 
Mimi nimekutana nazo baadhi pia, zote ziko poa, zimejazia, zimeenda shule na pesa wanazo si haba
Kwakweli sina comment juu ya hilo, ila kwa utafiti wangu, kupata pisi kali jf ni urongo. Labda kupata mwanamke mwenye kujitambua bila kujali mambo ya uzuri.
 
Kaa chonjo, pisi kali ni chache humu.
Screenshot_2026-09-13_114601.jpg
 
Tulikubaliana wote humu wanaume.. sasa pisi kali zipi tena mnaulizia?
 
Back
Top Bottom