Zinduna hapo kati na nguo ya punda milia kabinua mgongo balaa
Lara 1 upande wa kulia umependeza ndani ya nguo nyeusi, jicho lako tu na huo ulefu aisee.
Madame B na viatu vyako vyekundu mbona muoga sana, unaogopa hata picha
Hakuna kitu hapo ni vinguo vifupitu ndio vinawafanya mwonekane poa, maana wengi wanawaza ngono kwanza, tupieni nguo za kawaida, au mvae za wajawazito kisha mpige yena ya pamoja tuwachambue
Mimi sijaona warembo bongo naona wahindi weusi tu na miwigi kichwani