mmmmh basi hujui unachofanya, yaaan mtu afate kitu hicho halafu ghafla achokeKax gan hiyo nzit n wengi wenu mnalal tu n kusem fany harak nimechok
mmmmh basi hujui unachofanya, yaaan mtu afate kitu hicho halafu ghafla achokeKax gan hiyo nzit n wengi wenu mnalal tu n kusem fany harak nimechok
Kuna yule msanii aliimba starehe gharama.Kuna katabia wadada huwa wanako na kanakera sana. Yani pale mnapokuwa na mihadi kila akija anasema hajala tokea asubuhi hivyo anasikia njaa sana. Hii huwa inaharibu sana hesabu mana kama kawaida yao ata agiza kuku na chips,ndizi na red bull hapo amesha haribu hesabu kabisa. Ustarabu ni kwamba ukitoka home kula chakula kabisa.
Hii sawa!...Mbaya zaidi wanagusagusa tu chakula chenyewe, hata robo ya chakula kilichoagizwa hawamalizi. Hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali.
Kumbe ndiyo michezo yenu eeh?Kwanza tukishajua kuna mtoko huwa hatuli ndo maana tukija huko lazima tule.
Ama vipi aende kabisa room kwake na gal, apikiwe apewe mzigoHivi unajua unapomuita mtu sehemu unakua umemuharibia budget zake? Hela ya nauli si ningeitumia kesho kununua msosi ofisini? Kama hutak kutoa nauli mfuate anapokaa mchukue ukimaliza mrudishe.
Eeeeh. Tusisumbuane.Ama vipi aende kabisa room kwake na gal, apikiwe apewe mzigo
Umeugusa moyo wangu na hii kitu.Kweli waume hatueleweki
Jana mmesema "wadada niushamba kubakisja msosi"
Leo mnasema "wadada muwe mnakula kwenu ndo mnakuja"
Duuuhh...Mimi kama mwanamme nasema huwezi kumtoa binti wawatu anapokaa ,kwanauli yake ,nabado umuhitak ale ukouko..duuuhhh haifai hata kidogo.
Ngoja nikupe kasiri kadogo ,, ukiwa na mwanamke wako , siku akikutembelea hakikisha Unampikia ,anakula anashiba kwelikweli ,alafu unampa gegedo lamaana.
Kuna mawili ,, Aende awasimulie rafiki zake namna gan unavyojua kujali kwaiyo namarafiki wakiwa hawana akili watamzunguka waje kuona yaliyomo.
Au awe anakuambia 'baby nmemis chakula chako ,nakuja baadae'............ Kauli ambayo kwa waungwana huwa tunashukuru 'Asante kwa kuumbwa mwanamme'.
Wanawake wanapenda kula.
Uwe unawaagizia chakula unachoweza kumudu mkuu.Kuna katabia wadada huwa wanako na kanakera sana. Yani pale mnapokuwa na mihadi kila akija anasema hajala tokea asubuhi hivyo anasikia njaa sana.
Hii huwa inaharibu sana hesabu maana kama kawaida yao ataagiza kuku na chips, ndizi na red bull hapo ameshaharibu hesabu kabisa.
Ustarabu ni kwamba ukitoka home kula chakula kabisa.
Uko sahihi kabisa mkuu.Kaka wewe huja experience hicho kitu?
wengine wanawaambia kabisa kuwa wameshiba nyinyi mnadhani wanadeka kumbe kweli washavimbiwa na ugali ngisi huko!
na uache kuita mtu kama unajua fika hauwezi kummudu..
Kama wanavofanya wakenya sio!Tatizo liko wapi?
Hizo gharama za chakula, kata katika ile "budget" yake.