KAMA NAANZA KUPATA MWANGA HIVI.INAWEZA KUWA SABABU HIIHivi unajua unapomuita mtu sehemu unakua umemuharibia budget zake? Hela ya nauli si ningeitumia kesho kununua msosi ofisini? Kama hutak kutoa nauli mfuate anapokaa mchukue ukimaliza mrudishe.
Mahesabu makali ni pamoja na kutulia kwako sio kuita ita watoto wa watu sehemu zenye vyakulaWala simlaumu mleta mada hali kwa sasa sio powa jamani kila kitu kinaenda kwa mahesabu makali
HahahahaaUtaanza kuona simu zinapigwa kila mara kuhusu hela, ukimuuliza anakujibu kuwa kuna mtu anamdai kumbe anakopa. [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Kuna mtu ukitoka nae anakubembeleza kabisa ule unywe anaona labda unamletea pozi kumbe ni kweli huwezi kunywa wala kula. Sasa wengine kumbe usipoagiza msosi wanashukuru Mungu kimoyo moyomie had nimestaajabu kwakwel!raha ya kutoka na wahenga ndo hii!lol
Kula sio mbaya Ila huwa wanaagiza kama wanakomoa vileMahesabu makali ni pamoja na kutulia kwako sio kuita ita watoto wa watu sehemu zenye vyakula
Kwani home ndio naliwa huko nije nimeshiba wewe nikilaza wewe ndio unipe kunzia nauli ya kuja kwako msosi na pia nauli ya kurudi lione hadi chakula unalalamika je mtu akiwa na shida utamsaidia kweli.Kuna katabia wadada huwa wanako na kanakera sana. Yani pale mnapokuwa na mihadi kila akija anasema hajala tokea asubuhi hivyo anasikia njaa sana. Hii huwa inaharibu sana hesabu mana kama kawaida yao ata agiza kuku na chips,ndizi na red bull hapo amesha haribu hesabu kabisa. Ustarabu ni kwamba ukitoka home kula chakula kabisa.
Kax gan hiyo nzit n wengi wenu mnalal tu n kusem fany harak nimechoknile kande wakati nakuja kufanya kazi nzito we kaka ebu kuwa mstaarabu kidogo kumnunulia mwanamke wako chakula inakuuma mpaka kufungulia uzi
Jana usiku walikuvamia nini mkuu
Dawa unapka kabsa kama ni wali au ugali akija ni kupakuwa tu budget inakwendaa muruuuaKuna katabia wadada huwa wanako na kanakera sana. Yani pale mnapokuwa na mihadi kila akija anasema hajala tokea asubuhi hivyo anasikia njaa sana. Hii huwa inaharibu sana hesabu mana kama kawaida yao ata agiza kuku na chips,ndizi na red bull hapo amesha haribu hesabu kabisa. Ustarabu ni kwamba ukitoka home kula chakula kabisa.
mchukue UKIMALIZA mrudishe,akimaliza nnHivi unajua unapomuita mtu sehemu unakua umemuharibia budget zake? Hela ya nauli si ningeitumia kesho kununua msosi ofisini? Kama hutak kutoa nauli mfuate anapokaa mchukue ukimaliza mrudishe.