Hivi unajua unapomuita mtu sehemu unakua umemuharibia budget zake? Hela ya nauli si ningeitumia kesho kununua msosi ofisini? Kama hutak kutoa nauli mfuate anapokaa mchukue ukimaliza mrudishe.SIO CHAKULA TU MKUU,HATA NAULI YA KUJA NA KURUDIA ANATAKA APEWE.KIBAYA ZAIDI NA PESA NYINGINE ANAKUOMBA.
HIZI NJAA MARA NYINGI HUWA ZINAWAPONZA
Kweli kabisa..hii jinsia ni wabinafsi wa kila kitu japo wapo wanaojielewa.Chakula tu mtu analalamika. Hawa ndo wanawapimiaga wake zao chakula nyumbani. Utasiikia pika wali nusu asieshiba ataongezea na maji
mhhKuna katabia wadada huwa wanako na kanakera sana. Yani pale mnapokuwa na mihadi kila akija anasema hajala tokea asubuhi hivyo anasikia njaa sana. Hii huwa inaharibu sana hesabu mana kama kawaida yao ata agiza kuku na chips,ndizi na red bull hapo amesha haribu hesabu kabisa. Ustarabu ni kwamba ukitoka home kula chakula kabisa.
Kwa ufahari wao wanakualika "double tree hotel"Kama huna hela huna haja ya kumuita mdada atoke na wewe. We unipe vinywaji halafu nisile nani kasema? Kinywaji mwenzie msosi.
Unamwita wa nini wakati hutaki kuhudumia.SIO CHAKULA TU MKUU,HATA NAULI YA KUJA NA KURUDIA ANATAKA APEWE.KIBAYA ZAIDI NA PESA NYINGINE ANAKUOMBA.
HIZI NJAA MARA NYINGI HUWA ZINAWAPONZA
Mi utakaponiita nakuja mfuko wako kama mkavu utajua mwenyewe kutaka sifaKwa ufahari wao wanakualika "double tree hotel"
na kukupigia kwa namba ya "halotel"
hesabu kesha piga tena kwa bei ya dhabibu,
Ukiagiza upendacho kulipa kwake ni adhabu.
[emoji3] [emoji2] [emoji23] [emoji119]
[emoji444] [emoji443] [emoji441]
Mweleze mwenzio huyo.Mwanaume kuwa mchoyo hasa kwenye chakula haipendezi hata kidogo
Sio ubahili tu ni uchoyo.Bahili utamjua tu
Yaani kwenye vitu ambavyo hutakiwi kumnyima mtu ni chakulaMweleze mwenzio huyo.
Tatizo sio kuagiza hayo makulaji.Tatizo ni pale anagusagusa minofu kadhaa alafu ameshiba anawacha chakula....angryyyyyyyyKuna katabia wadada huwa wanako na kanakera sana. Yani pale mnapokuwa na mihadi kila akija anasema hajala tokea asubuhi hivyo anasikia njaa sana. Hii huwa inaharibu sana hesabu mana kama kawaida yao ata agiza kuku na chips,ndizi na red bull hapo amesha haribu hesabu kabisa. Ustarabu ni kwamba ukitoka home kula chakula kabisa.
Utaanza kuona simu zinapigwa kila mara kuhusu hela, ukimuuliza anakujibu kuwa kuna mtu anamdai kumbe anakopa. [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Mi utakaponiita nakuja mfuko wako kama mkavu utajua mwenyewe kutaka sifa
Kuna wanaume wachoyoo
Hadi aibuu...mie had nimestaajabu kwakwel!raha ya kutoka na wahenga ndo hii!lol