TECHMAN
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 2,651
- 1,125
Manyerere anazungumzia Dola ya Bahima wakati hajui hata hilo kabila ni akina nani! Masikini mwandishi mjinga. Hajui kuwa propagandists wa hii dola walikuwa wanamwingiza hata Baba wa Taifa Nyerere kuwa yeye ndo kinara anaowatumia vijana wake Museveni na Kagame, sasa na wewe unadandia treni usiojua inakokwenda. Sipendi kuona mwandishi makini anaandika upuuzi, sipendi kabisa. Nilidhani upuuzi unaandikwa na akina Mtikila au wanaotoa comment humu ambao ni watu tu wa kawaida, hata Manyerere? aliyelelewa na kula nafaka kwa Nyerere? Jamani, uandishi Tanzania unaelekea kubaya. Manyerere ingia google, tafuta Tutsi, then Hima, then Bairu, then Hutu... then utajua tofauti. Kuhusu vita kuhitimishwa Kigali, nadhani Manyerere amevurugikiwa akiri. Vita Enzi hizi ambazo watu wanaangalia uchumi na kushirikiana? Ona sasa unazungumzia kuingia EAC ikiwa ni mkakati wa Himaya, huoni Kenyatta ana take advantage ya matatizo yetu kujinufaisha? Wakati tunapiga kelele za empire, kupeleka majeshi kuwasaidi wacheza ndombolo, Kenyatta anazindua bandari na kuweka mpango wa kuhakikisha inatumiwa. We upo tu kwenye Hima empire. Na hujui kuwa ili upigane vita Enzi hizi lazima ui-convice UN, Marekani, etc. Hujui kuwa Congo iko vile kwasababu kuna dola dhaifu, na kuna utamaduni wa uasi tangu Enzi za Mobutu? Sasa unaleta hadithi za Hima empire hapa, kweli nimekudharau, you are an empty basket.
Kaka una hasira, tulia kidogo basi, hata kama umeguswa kwenye masilahi yako kuwa mvumilivu unywe dawa. Inaonekana wewe na hao wanyaru ni kitu kimoja. Nawasiwasi na hilo jina lako si la hawa ndugu zetu wa bukoba. Kama mlifikiri wa bongo ni wacheza ndombolo mjue mmekosea.
Na uvivu wako wa kuelewa umeacha mtazamo mzima wa habari unakimbia BAHIMA tu, au wewe ni bahima nini?