Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,968
Kwa Tz kila kitu kinawezekanaVp Chama kikiwafuta uanachama watagombea kupitia chama gani kwa hiki kipindi kilichobaki ?
Kwa Tz kila kitu kinawezekanaVp Chama kikiwafuta uanachama watagombea kupitia chama gani kwa hiki kipindi kilichobaki ?
Kabla awajachoma hizo ofisi tutakua wap?Nyinyi sisisemu bila heka heka mnarelax na kuifanya nchi yenu ,no bizness as usual ,nawashauri CDM wagombee ila wawadhibiti wahuni kwa vitendo ,mkurugenzi akigoma kutoa form au mpuuzi ameengua mgombea ni kuchoma moto ofisi na nyumba yake ,wakienda mwendo huo mtakaa mezani.
Watapukutika mmoja baada ya mwingine na kuunga juhudi za Chura Kiziwi mpaka utashangaa na hizo nguzo za barafu zitaishikilia CHADEMA mpaka mwisho wa Dunia...Uongozi wa Lissu ndani ya chadema umeshikiliwa na nguzo za barafu katikati ya jangwa la kalahari.
Watia nia wote katika nafasi za ubunge na udiwani wamemgomea ajenda yake ya kutoshiriki uchaguzi wa 2025.
Katika kauli yao nzito wamesisitiza kuingia ulingoni kutumia haki yao ya kikatiba.
Hii ni hatua kubwa kupinga udikteta. Haiwezekani mtu aendeshe chama kama kundi la bata wa nyumbani kwake.
View attachment 3293145
Ngoja tuone muuza alizeti kama atamudu mziki alioandaliwa mb-huyoWatapukutika mmoja baada ya mwingine na kuunga juhudi za Chura Kiziwi mpaka utashangaa na hizo nguzo za barafu zitaishikilia CHADEMA mpaka mwisho wa Dunia...
Hakuna mtu aliye mkuu CHADEMA isipokuwa CHADEMA yenyewe. Ukijaribu kukitikisa chama, hakika utaangukiwa na kitu kizito na kukulaza chini milele...
CHADEMA tunasainisha petition ya watu 15,000,000 wanauunga mkono NO REFORMS NO ELECTION na kisha itakwenda UN na nchi donors na wahisani wote duniani kisha tutaona nani atasimama wananchi au wajinga fulani wachache wakisaidiwa na wajinga wakuu wa CCM...
Humo chadema ni nani mwenye uwezo wa kuwajibu kwa hoja?Wajibiwe kwa Hoja. Naamini katika Demokrasia na Ujengaji wa hoja.
Jibu hoja zao, acha matusi. Wewe siyo mtu wa level ya matusi.Wajinga hao ni wa kupuuzwa Hoja yao haina kichwa wala miguu
Mjinga utamwitaje...ni mjingaa!Jibu hoja zao, acha matusi. Wewe siyo mtu wa level ya matusi.
CCM walikuwa nyuma ya team Mbowe kabla ya uchaguzi wa chadema kufanyika,hivi watashindwa kuwaazima akina Mrema printer ya pale Lumumba ili watoe tangazo lao kweli?Miongoni mwa sababu walizozitoa G-55 katika waraka huo ni pamoja kwamba wanaona haiwezekani kuzuia uchaguzi ikiwa si washiriki, badala yake wanapaswa kushiriki na kuzuia kwenye vituo vitakavyoonekana kufanyika ubadhilifu.
Licha ya viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuweka msimamo wa kuzuia uchaguzi, watia nia 55 wa ubunge maarufu’G-55’ kupitia chama hicho, wamelipinga hilo wakitoa sababu tisa za uamuzi wao huo.
Watia nia hao 55, ndio wale ambao kuanzia juzi, jumbe zao katika kundi la WhatsApp zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii, zikionyesha mipango yao ya kuwasilisha pingamizi la msimamo wa chama hicho.
View attachment 3292962
View attachment 3292963
View attachment 3292964
View attachment 3292965
View attachment 3292974
View attachment 3292975
View attachment 3293158
Kazi ya UN na wahisani sio kuingilia mambo ya ndani ya nchiCHADEMA tunasainisha petition ya watu 15,000,000 wanauunga mkono NO REFORMS NO ELECTION na kisha itakwenda UN na nchi donors na wahisani wote duniani kisha tutaona nani atasimama wananchi au wajinga fulani wachache wakisaidiwa na wajinga wakuu wa CCM...
Unamuita mjinga kwa kuwa ametoa hoja ambazo huna majibu yake au hauwezi kuzijibu?Mjinga utamwitaje...ni mjingaa!
We unaona kwa mazingira ya sasa kuna kushika dola upinzani kweli?Uongozi wa Sasa ni sikio la kufa mtaambiwa ninyi ni wabinafsi.Lakini kilichoelezwa ni ukweli mtupu,huwezi kushika dola bila kushiriki na kushinda uchaguzi kinyume na hapo ni fujo tu
Zanzibar upinzani wametoa hadi makamu wa RaisiWe unaona kwa mazingira ya sasa kuna kushika dola upinzani kweli?
Watafute chama kingine.Wajibiwe kwa Hoja. Naamini katika Demokrasia na Ujengaji wa hoja.
Utakuwa na shida kichwani.Zanzibar upinzani wametoa hadi makamu wa Raisi
Majimbo yapo 264 ila wao wapo 55.Miongoni mwa sababu walizozitoa G-55 katika waraka huo ni pamoja kwamba wanaona haiwezekani kuzuia uchaguzi ikiwa si washiriki, badala yake wanapaswa kushiriki na kuzuia kwenye vituo vitakavyoonekana kufanyika ubadhilifu.
Licha ya viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuweka msimamo wa kuzuia uchaguzi, watia nia 55 wa ubunge maarufu’G-55’ kupitia chama hicho, wamelipinga hilo wakitoa sababu tisa za uamuzi wao huo.
Watia nia hao 55, ndio wale ambao kuanzia juzi, jumbe zao katika kundi la WhatsApp zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii, zikionyesha mipango yao ya kuwasilisha pingamizi la msimamo wa chama hicho.
View attachment 3292962
View attachment 3292963
View attachment 3292964
View attachment 3292965
View attachment 3292974
View attachment 3292975
View attachment 3293158