PreGE2025 Waraka wa wagombea 2020 na watia nia wa ubunge 55 wa CHADEMA. Wapinga chama kususia uchaguzi mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vp Chama kikiwafuta uanachama watagombea kupitia chama gani kwa hiki kipindi kilichobaki ?
 
Njaa sio mchezo uwa nasema ata upinzani wakipata nchi wata taka wale pia kwanza ndo mengine yafate
 
Watia nia wamegoma, kama mna tatizo la "erection" Mkamuone Janabi, ila election iko palepale
Wezi wa Tume Feki ya Uchafuzi tutawapiga mawe kama wezi wengine na maboksi ya kupigia kura za wizi titayatia kiberiti ngojeni muone.
 
Hawa ndio walipaswa kukiongoza chama. Sio mwanaharakati yule.

Afu ametia nia urais. My foot.

Kwa ushauri, chama kitafute mtia nia mbadala kwenye nafasi ya urais sio huyu.
G55 wanaakili kubwa kuliko kina Lissu na Lema
 
Wezi wa Tume Feki ya Uchafuzi tutawapiga mawe kama wezi wengine na maboksi ya kupigia kura za wizi titayatia kiberiti ngojeni muone.
Mtapigwa mno, yaani mtapigwa sana, mtapigwa kama ngoma
 
Lissu na Heche wanawaingiza chaka wananchi na wagombea wao ,kwa nature ya waTZ na Viongozi huwa hawana guts za kupambana kama wakenya ,hiyo siku ya uchaguzi watashiriki tu kama kawaida na hakuna hata mmoja ambaye atakayeleta fujo ya kuzuia....

Lissu na Heche kwakuwa tayari wana ajira ya kupata mishahara kupitia Tone tone hivyo wanawanyima fursa wenzao ,hao watu hawahitaji kususia ,hao watu wanahitaji mikiki kwenye michakato maana walishajifunza jinsi wanavyowakata na kuwaengua.

Inatakiwa washiriki ila DED akileta uhuni ni kuchoma ofisi ,kuchoma nyumba yake mnafanya hivyo nchi nzima ,wakiona mtiti huo lazima watasarenda lakini mkisusia halafu mtegemea waTZ waende kuzuia hamtopata hata mmoja.

Inatakiwa watoe angalizo mapema kwamba mawakala waapishe siku 2 kabla ya uchaguzi na kama kuapishwa waapishwe wote hadi wa sisiemu ,wasipowaapisha wachome ofisi zote za MADED ,hao watu mkiwachekea watafanya vichwa vya wandawazimu ,hawawezi kuondolewa kwa kususa ,hao watu wanaondolewa kwa kupambana nginja nginja.
 
Kachome vipisi vyako vya bangi, ukijaa kwenye mfumo uchome mali ya umma unakula chuma tu
 
Back
Top Bottom