King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,330
- 88,488
Bila vayolensi sisiemu hawwezi kufuata demokrasia ,wanahitaji wajambishwe.Kachome vipisi vyako vya bangi, ukijaa kwenye mfumo uchome mali ya umma unakula chuma tu
Bila vayolensi sisiemu hawwezi kufuata demokrasia ,wanahitaji wajambishwe.Kachome vipisi vyako vya bangi, ukijaa kwenye mfumo uchome mali ya umma unakula chuma tu
Upinde mnawaza kujamba tuBila vayolensi sisiemu hawwezi kufuata demokrasia ,wanahitaji wajambishwe.
Upinde mnawaza kujamba tu
Kwani Msigwa amehongwa cheo gani na Makalla?Waende wakahongwe vyeo na Makalla kama Msigwa.
Kaahidiwa kupewa cheo cha kuhongwa au hata ubunge wa Iringa kwa kubebwa na Tume ya Uchafuzi ndio maana tunasema NO REFORMS NO ELECTION.Kwani Msigwa amehongwa cheo gani na Makalla?
Mtafukuzwa kwa kupinga agenda za Chama muende kwa Makalla akawagawie Ebola na M.pox.Hatutoki chadema labda mfanye mpango wa kutuua kama mlivyofanya kwa Mwenezi wa Bawacha
tundu lisu hakutakiwa kabisa na system awe kwenye nafasi ya mwenyekiti chadema. haya ndiyo matokeo yake sasaDaah hawa jamaa wameamua TU kua against na uongozi huu maana hata ukiwauliza hoja ziko wapi wanatoa macho tu.
Hawa hawajatumwa na CCM ila kwa kiburi chao wameamua kufanya KAZI ya CCM bila kulipwa ili kujarbu kuonyesha uongozi mpya wao ndio alfa na omega.
Wengine walitoa miez2 lakini wanaona mwezi wa3 huu Ngoma ndo kwanza inaanza kupaliliwa na harakati bila wao zinasonga Tena bila ya makando kando,wakaona wajikusanye kama Intarahamwe.
Nashauri wapuuzwi na kama watatokea wenye viburi zaid basi watawafata Covid-19.
Cdm haijawahi kua chini ya mtu,CDM ni chama chemye sura ya kitaifa sasa na kila mwenye kutaka mabadiliko anakimbilia CDM na ndo mana hawataki hata wanaharakati wajihusishe na CDM(😄😄).
LISU NA HECHE kazeni milio imeanza kuskika,hao waachieni kina Mnyika na Lema watadili nao
Halafu John Mrema eti ndio kiongozi wao![]()

Utajamba na babu yako upindeBila vayolensi sisiemu hawwezi kufuata demokrasia ,wanahitaji wajambishwe.
Utajamba na babu yako upinde
Chadema ni wapumbavu nyieDamu ya Thadei Ole Mushi inakuwewesekea.
Focus mfu ni ujinga mtupuMtafukuzwa kwa kupinga agenda za Chama muende kwa Makalla akawagawie Ebola na M.pox.
Ila sisi tunafocus na NO REFORMS NO ELECTION Mpaka kizimkazi acheue bungo.
Chadema ni wapumbavu nyie
Acha upotoshaji mjinga wewe.Hakuna wa kuitisha CCM .Lissu ni kitu ganitundu lisu hakutakiwa kabisa na system awe kwenye nafasi ya mwenyekiti chadema. haya ndiyo matokeo yake sasa
Choma uchomweNyinyi sisisemu bila heka heka mnarelax na kuifanya nchi yenu ,no bizness as usual ,nawashauri CDM wagombee ila wawadhibiti wahuni kwa vitendo ,mkurugenzi akigoma kutoa form au mpuuzi ameengua mgombea ni kuchoma moto ofisi na nyumba yake ,wakienda mwendo huo mtakaa mezani.
Bila Reforms hiyo tume yenu ya VIBAKA tutaipopoa mawe na hayo Maboksi yenu mliyoyajaza kura FEKI tunayachoma moto. Ngojeni muone.Focus mfu ni ujinga mtupu
Mimi sipo kwenye siasa ,nimetoa ushauri wa kufanya ili kuwadhibiti nyinyi WAHUNI aliowasema polepole.Choma uchomwe
Hata Mimi sipo kwenye siasa ukichoma uchomweMimi sipo kwenye siasa ,nimetoa ushauri wa kufanya ili kuwadhibiti nyinyi WAHUNI aliowasema polepole.