Wangeenda jana wasingesikika hivi na kusomwa hata na ccm na pia isingeleta taharuki.Si wangeenda jana kulikua na forum ya watia nia wote?
Lakini hili suala alianzisha Mbowe. Sisi CCM na wale ambao ni Pro Mbowe tunataka ligeuza liwe kama la Lissu.Tukiweka mahaba pembeni G55 wana hoja zenye mashiko.
Mrema anasumbuliwa na mahba na Mbowe na Chagadema philosophy. Hoja ya msingi hili la reforms/elections lilipitishwa na Kamati Mkuu, Mkutano Mkuu je dhana ya iwajibikaji wa pamoja"collective responsibility" iko wapi?Katiba inatoa uhuru na haki. Kikundi cha watu wachache wanaminya uhuru huo..
Azimio la mafichoni aliipo ndg yetu Maria lilikuwa la no reforms, no election. Likiwa na ujumbe na mikakati yake, lakini kigenge cha watu wachache walio Anza kulewa madaraka mapema wamepindua dhima kuu na kubakia na sura ile ile ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu
Muda ndio msema kweli. Je, uchaguzi utafanyika?
Hela ya DP World hiyo inawachanganya akili
Miongoni mwa sababu walizozitoa G-55 katika waraka huo ni pamoja kwamba wanaona haiwezekani kuzuia uchaguzi ikiwa si washiriki, badala yake wanapaswa kushiriki na kuzuia kwenye vituo vitakavyoonekana kufanyika ubadhilifu.
Licha ya viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuweka msimamo wa kuzuia uchaguzi, watia nia 55 wa ubunge maarufu’G-55’ kupitia chama hicho, wamelipinga hilo wakitoa sababu tisa za uamuzi wao huo.
Watia nia hao 55, ndio wale ambao kuanzia juzi, jumbe zao katika kundi la WhatsApp zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii, zikionyesha mipango yao ya kuwasilisha pingamizi la msimamo wa chama hicho.
View attachment 3293116
View attachment 3293120View attachment 3293121View attachment 3293122View attachment 3293123View attachment 3293124
Hawa ndio walipaswa kukiongoza chama. Sio mwanaharakati yule.Miongoni mwa sababu walizozitoa G-55 katika waraka huo ni pamoja kwamba wanaona haiwezekani kuzuia uchaguzi ikiwa si washiriki, badala yake wanapaswa kushiriki na kuzuia kwenye vituo vitakavyoonekana kufanyika ubadhilifu.
Licha ya viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuweka msimamo wa kuzuia uchaguzi, watia nia 55 wa ubunge maarufu’G-55’ kupitia chama hicho, wamelipinga hilo wakitoa sababu tisa za uamuzi wao huo.
Watia nia hao 55, ndio wale ambao kuanzia juzi, jumbe zao katika kundi la WhatsApp zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii, zikionyesha mipango yao ya kuwasilisha pingamizi la msimamo wa chama hicho.
View attachment 3293116
View attachment 3293120View attachment 3293121View attachment 3293122View attachment 3293123View attachment 3293124
Mwajabu,mzigo wako👉💐💐💐💐💐🌸💐💐💐💐🌸🌸💐💐💐🌸🌸💐🌸💐💐💐💐💐💐💐💐Duniani kuna watu na viatu, kama umehusika na uandaaji wa utumbo huu, jua wewe ni wahovyo. Lissu endelea kushikilia hapo hapo tuwajue vibaraka wanaotuzunguuka, wewe kama unawashwa hama chama au nenda burundi, msituchoshe.
Ni bahati mbaya sana pamoja na nguvu zote mnazotumia kuzuia No Reform No Election, Watanzania wamewapuuza na wako serious wanataka mabadiliko.Uongozi wa Lissu ndani ya chadema umeshikiliwa na nguzo za barafu katikati ya jangwa la kalahari.
Watia nia wote katika nafasi za ubunge na udiwani wamemgomea ajenda yake ya kutoshiriki uchaguzi wa 2015.
Katika kauli yao nzito wamesisitiza kuingia ulingoni kutumia haki yao ya kikatiba.
Hii ni hatua kubwa kupinga udikteta. Haiwezekani mtu aendeshe chama kama kundi la bata wa nyumbani kwake.
View attachment 3293145