PreGE2025 Waraka wa wagombea 2020 na watia nia wa ubunge 55 wa CHADEMA. Wapinga chama kususia uchaguzi mkuu

PreGE2025 Waraka wa wagombea 2020 na watia nia wa ubunge 55 wa CHADEMA. Wapinga chama kususia uchaguzi mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Zanzibar upinzani wametoa hadi makamu wa Raisi

Hilo lipo kikatiba. Chama Cha pili kwa wingi wa kura za urais zisizopungua 5% urais kitatoa makamu wa kwanza wa Rais ndio maana mwaka 2015 upinzani haukutoa makamu wa Rais maana CUF walisusia marudio ya uchaguzi.
 
G55 WA CHADEMA HAWANA HOJA. Na wala sijajiona hoja yao
Japo sikubali na uongozi wa Lissu lakini G55 hawana hoja.
Hawa wote walikua mstari wa mbele kupigania hoja hii kabla ya uchaguzi wa ndani kufanyika.
Wengine tuliopinga mapema walitukejeli.
 
Ngoja tuone muuza alizeti kama atamudu mziki alioandaliwa mb-huyo
You're so insecure...

Mlimshindwa kumuua September 7, 2017...

Mlimshindwa kuzuia asishinde uchaguzi January 21, 2025...

Mtawezaje kuizuia NO REFORMS NO ELECTION campaign...

Mnaweza kuzuia Mungu kufanya atakalo lifanyike kwa kumtumia mtu amtakaye..?

Don't be naive. The downfall of CCM and its administration is vivid....

We see light ahead of us...
 
Hao ni mamluki wa veggies waliokuwa wanaishi kwa mgongo wa Chadema..!!
 
Kama ngoma ilikuwa juani sas imeanza kunoga! Ingekuwa swala ni Hoja nadhani hata wao wangeunga mkono, lkn ikumbukwe kwamba mkono mfupi usipokuna panako washa basi hata ukuta utatumika kujikuna,,! Amani hiii haipo kwaajili ya kikundi frani cha watu Bali ni Amani ya watanzania na vizazi vijavyo!
 
Back
Top Bottom