TV Imaan wawaalike Prof Lipumba, Prof Assad, Prof Mruma na Dr Dau kujadili Waraka wa TEC badala ya kuleta Mashehe wanaojadili Escrow na MoU ya Kanisa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,990
142,007
Ikumbukwe kuwa Waraka wa TEC umeandaliwa kufuatia kazi kubwa iliyofanywa na Wasomi Wabobezi walio Kanisani baada ya Kufanya Utafiti wa kutosha

Na hata wanaofafanua Waraka Kanisani ni Maaskofu na Mapadre waliobobea katika taaluma mbalimbali

Nashauri Ndugu zetu wa TV Imaan ambao leo wameendelea kuchambua Waraka kupitia Mashehe na Simu za Wasikilizaji wawaalike Prof Lipumba, Prof Assad, Prof Mruma na Dr Dau katika Mjadala ili kuutendea haki Waraka huo wa " Kisomi"

Mlale unono!
 
Bora umewapa ushauri wa maana. Jamaa akili zao ni kama zimefungwa wasitambue kitu nje ya angle ya udini
 
Waraka wa TEC Kwenda kwa Watanzania wote kama ulivyoandikwa na padri kitima utawatesa sana Manyani
Ikumbukwe kuwa Waraka wa TEC umeandaliwa kufuatia kazi kubwa iliyofanywa na Wasomi Wabobezi walio Kanisani baada ya Kufanya Utafiti wa kutosha

Na hata wanaofafanua Waraka Kanisani ni Maaskofu na Mapadre waliobobea katika taaluma mbalimbali

Nashauri Ndugu zetu wa TV Imaan ambao leo wameendelea kuchambua Waraka kupitia Mashehe na Simu za Wasikilizaji wawaalike Prof Lipumba, Prof Assad, Prof Mruma na Dr Dau katika Mjadala ili kuutendea haki Waraka huo wa " Kisomi"

Mlale unono!
 
Ikumbukwe kuwa Waraka wa TEC umeandaliwa kufuatia kazi kubwa iliyofanywa na Wasomi Wabobezi walio Kanisani baada ya Kufanya Utafiti wa kutosha

Na hata wanaofafanua Waraka Kanisani ni Maaskofu na Mapadre waliobobea katika taaluma mbalimbali

Nashauri Ndugu zetu wa TV Imaan ambao leo wameendelea kuchambua Waraka kupitia Mashehe na Simu za Wasikilizaji wawaalike Prof Lipumba, Prof Assad, Prof Mruma na Dr Dau katika Mjadala ili kuutendea haki Waraka huo wa " Kisomi"

Mlale unono!
Mruma alikutana na kitu chenye ncha kali hawezi kukubali..hahaha
Mimi nawashauri badala ya kujadili waraka wa TEC na wao watoe waraka wao!
 
Ikumbukwe kuwa Waraka wa TEC umeandaliwa kufuatia kazi kubwa iliyofanywa na Wasomi Wabobezi walio Kanisani baada ya Kufanya Utafiti wa kutosha

Na hata wanaofafanua Waraka Kanisani ni Maaskofu na Mapadre waliobobea katika taaluma mbalimbali

Nashauri Ndugu zetu wa TV Imaan ambao leo wameendelea kuchambua Waraka kupitia Mashehe na Simu za Wasikilizaji wawaalike Prof Lipumba, Prof Assad, Prof Mruma na Dr Dau katika Mjadala ili kuutendea haki Waraka huo wa " Kisomi"

Mlale unono!
Ule no waraka wa kichochezi uliojaa ujenzi wa chili be na udini. TEC ni vibaraka wanaotumika kuvuruga amani na mshikamano wa Taifa. Ingawa hawajawahi kutanikiwa waache maupuzi yao Yale wanakidhalilisha na kuwafanya watanzania kuwachukia na kuuchukia ukatoliki kwa ujumla wake. Hawana usomi wowote kuwazidi maprofesa hao. Hawajaanza Leo Wala Jana, kila rais akiwa muislam hawatulizagi vitako vyao mi kuhangaika na hizo nyaraka zao za kipuuzi. Waislamu mi wastaarabu Sana hata rais akiwa mkatoliki walikuwa wanamheshimu kuonesha ukomavu. Sasa hao wapuuzi ndio unawaita wasomi? Kwanza wakatoliki siyo wakristo ni wakristu ni wapinga Kristo mwenyewe yaani YESU.
 
Hivi wakivaaga zile kobazi mwenye vile vimfuko wanawekaga nini???
Ulishawahi kujiuliza hao maaskofu wako wezi wa Mali za umma kwenye majoho na vikofia vyao wanawekaga Nini. Halafu nyie ng'ombe mjue wakatoliki ni wachache Sana kuliko waislamu. Waache chochoko hao wapumbavu hawana watoto Wala wajukuu ndio maana hawana la Kupoteza amani ikiharibika
 
Ule no waraka wa kichochezi uliojaa ujenzi wa chili be na udini. TEC ni vibaraka wanaotumika kuvuruga amani na mshikamano wa Taifa. Ingawa hawajawahi kutanikiwa waache maupuzi yao Yale wanakidhalilisha na kuwafanya watanzania kuwachukia na kuuchukia ukatoliki kwa ujumla wake. Hawana usomi wowote kuwazidi maprofesa hao. Hawajaanza Leo Wala Jana, kila rais akiwa muislam hawatulizagi vitako vyao mi kuhangaika na hizo nyaraka zao za kipuuzi. Waislamu mi wastaarabu Sana hata rais akiwa mkatoliki walikuwa wanamheshimu kuonesha ukomavu. Sasa hao wapuuzi ndio unawaita wasomi? Kwanza wakatoliki siyo wakristo ni wakristu ni wapinga Kristo mwenyewe yaani YESU.
Nyie makuwadi ya warabu dpworld mwambien mamayenu arudishe hela alizohongwa na hao mabwana zenu asipofanya hivyo zitamtokea kwenye kila tundu la mwili wake.
 
Ikumbukwe kuwa Waraka wa TEC umeandaliwa kufuatia kazi kubwa iliyofanywa na Wasomi Wabobezi walio Kanisani baada ya Kufanya Utafiti wa kutosha

Na hata wanaofafanua Waraka Kanisani ni Maaskofu na Mapadre waliobobea katika taaluma mbalimbali

Nashauri Ndugu zetu wa TV Imaan ambao leo wameendelea kuchambua Waraka kupitia Mashehe na Simu za Wasikilizaji wawaalike Prof Lipumba, Prof Assad, Prof Mruma na Dr Dau katika Mjadala ili kuutendea haki Waraka huo wa " Kisomi"

Mlale unono!
Mh! Kwan Bin haroub anasemaje?
 
Ule waraka uliilenga serikali, na sio BAKWATA. Sasa sielewi kwanini Waislam ndio wabebe jukumu la kujadili waraka usio wahusu, na wanaujadili ili iweje? Kwamba serikali ambao ndio walengwa wameshindwa au hawakuupata Waraka huo?
 
TV imaan wako busy na kudiscuss kanisa, badala ya kujadili mkataba wa bandari unalinufaishaje Taifa au unalitiaje Taifa hasara.

Kama kuna upendeleo wowote kwa Wakiristo unaofanywa na serikali, wao wakaikabe mashati serikali yao na siyo kanisa.

Serikali wanaoigopa ila maneno meeengi wanaongea dhidi ya kanisa!, huku sasa ni kukosa uadilifu wa kusema ukweli.
 
Watangazaji Wamepoteana Sasa Wahaha, TEC Mtauwa Watu
Bandari Ni Kaa La Moto Kwa Yoyote Anayetaka Uwekezaji Wenye Ukakasi Hasi Vile Vifungu
Takibiir
 
Ule no waraka wa kichochezi uliojaa ujenzi wa chili be na udini. TEC ni vibaraka wanaotumika kuvuruga amani na mshikamano wa Taifa. Ingawa hawajawahi kutanikiwa waache maupuzi yao Yale wanakidhalilisha na kuwafanya watanzania kuwachukia na kuuchukia ukatoliki kwa ujumla wake. Hawana usomi wowote kuwazidi maprofesa hao. Hawajaanza Leo Wala Jana, kila rais akiwa muislam hawatulizagi vitako vyao mi kuhangaika na hizo nyaraka zao za kipuuzi. Waislamu mi wastaarabu Sana hata rais akiwa mkatoliki walikuwa wanamheshimu kuonesha ukomavu. Sasa hao wapuuzi ndio unawaita wasomi? Kwanza wakatoliki siyo wakristo ni wakristu ni wapinga Kristo mwenyewe yaani YESU.
Tuheshimiane vjukuu vya mtume. Wepesi sana waa kuzua tafrani, lakini mkijibiwa ni wepesi sana wa kuandamana. Tukianza matusi humu, wengine tunaweza kuchafua hali ya hewa humu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom