Waraka wa Makamba, Kinana siri nje nje

Waraka wa Makamba, Kinana siri nje nje

Na. Masoud Hassan Hamad
16th Julai 2019

BAADA ya kuvuja kwa waraka ulioandaliwa na Nape Nnauye na January Makamba unaowahusisha Mzee Kinana na Mzee Makamba watu wengi wenye mapenzi mema na Wazee hawa wamejiuliza maswali mengi sana.

Kwa nini Nape aandike ampe January ahariri? Kwa nini hilo lifanyike wakati huu baada ya wawili hao kuhusishwa na vinasaba vya ACT Wazalendo?

Imekuwaje wawatumie wazee hao wawili wakati waliotuhumiwa na Musiba ni wengi ndani ya chama na serikali?

Je, nini lengo la vijana hao na hatma yao kisiasa? Na uko wapi uzalendo wa vijana hao kwa taifa?

Baada ya kujiuliza maswali hayo imeeleweka kuwa January Makamba na Nape Nnauye wana hofu kubwa sana ya kutupwa ndani ya CCM kutokana na kushuka katika utendaji kazi wao ndani ya chama. Hili ni kutokana na kwamba kwa sasa vijana hao hawana msaada wowote ndani ya CCM na zaidi wamekisababishia chama madeni makubwa na kukifitinisha na watu mbalimbali ndani ya jamii.

Hayo yote waliyafanya kipindi cha kampeni za 2015 na baada.Vilevile vijana hao wamekuwa wakitapatapa kwa kukosa ushawishi ndani ya chama baada ya kuonekana kuwa na makandokando mengi kwa chama hicho.

Wameamua kuibuka kwa kuwatumia wazee hao wastaafu. Hata hivyo kwa kufanya hivyo sidhani kama watamshawishi mwenyekiti wa chama hicho na viongozi wengine waandamizi wa chama kwani kwa sasa wanachojali viongozi hao ni utendaji kazi tu unaoendana na utekelezaji wa ilani ya 2015 - 2020 ya chama hicho.

Sasa kwa kufanya hivyo kuna mawili ambapo eidha wamejikatia tamaa ndani ya CCM na kutafuta mustakabali wa vyama vingine au wanadhani watapata huruma za wanachama wa CCM.

Lakini binafsi naona ni kama ndo wanazidi kujichimbia kaburi zaidi hasa baada ya siri kufichuliwa kuwa waraka ule uliandaliwa na Nape kisha ukahaririwa na January Makamba na kuusambaza.

Vijana hao wameendeleza harakati za kuudhoofisha uongozi wa Rais Magufuli kwa lengo la kuwalinda baadhi ya watu.

Nadhani kama njia hii wanadhani itamrudisha nyuma Rais Magufuli kwa harakati zake za mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi watakuwa wanakosea sana maana kwa jamaa huyu ni kama ndo wanamchochea kuyatekeleza hayo kwani kila mwenye ovu atafikiwa. Tuwe wapole tutayapata mengi na nchi itasimama kwa heshima. *Hiyo ndiyo imani yangu kwa utawala huu*

Mwisho nimalize kwa kusema *kujenga nchi iliyokuwa inayumba kutokana na watu wanaolea uovu kwa kuwadanganya viongozi wakuu ni kazi sana. Hivyo wapo watakaopinga ili kuficha uovu wao na kujilinda ili waendelee nao na wapo watakaoshabikia ili kuona uovu huo unaendelea ili wapate cha kusema*
Dada pale Corner Bar huna soko umekimbilia huku.
 
Mwongoooo wewe nyamaza

Rubbish.
 
Unajua umuhimu wa nape na January katika uchaguzi wa 2015? Anatekeleza ilani, hiyo ilani ilitayarishwa na kina nani na kina nani walikaa hadi msituni kuipigania ili ipite? NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK
 
Naona unaruka ruka tu hujajibu juu ya ule waraka,kwenye warska walikua wanahoji Musiba anachafua watu na anaangaliwa tu,nani yuko nyuma ya musiba,badala kujibu hoja za hao wazee umekuja na mambo mengine kabisa,rudi kasome huo waraka halafu uje uandike tena upya uzi wako
 
Unataka kusema hao vijana wawili wana vinasaba vya kumuunga mkono Zitto au?

Cc: mahondaw
 
Kwani kuwa ndani ya Chama cha mapinduzi ndio Uzalendo?.
 
Kwanza hujaonesha evidence Kama Nape na Makamba waliandika huo waraka au la.

Pili Kinana na Mzee Makamba wanauwezo mkubwa Sana kishawishi, kusema na kusindika, je huamini wanaeeza kuandika?

Tatu umezungumzia suala la magufuli ilihali hoja Ni Musiba kuwachafua hao wastaafu, je unataka kutuambia magufuli kamtuma Musiba? Maana inaonekana hoja yote na asemayo Musiba yanatokana na utendaji mzuri wake wa kazi.

Pia umezungumzia ufisadi ndani na nje ya chama, je unataka kusema hao wazee pamoja na Nape na January Ni mafisadi? Kama ndio thibitisha Kama hapana kwanini umewahusisha na ufisadi?

He unataka kusema Musiba anapigana na mafisadi na mafisadi hao wapo CCM hivyo mpiga filimbi wa Chama na Serikali Ni Musiba?

Hoja zako hazieleweki zaidi ya maji taka kutaka kuamchafua Nape na January kwamba wao ndio mafisadi papa, wanawivu na urais wa Magufuli, wamekiibia chama, wanastahili kufukuzwa, hivyo badala ya kudeal na Nape mmeenda kwa wazee hao.

Tumbo likiwa kubwa kuliko kichwa, uwezo wa akili hupungua na baadae sehemu ya ubongo huchukuliwa na mafuta yatokayo tumboni hapo Sasa ndio utaona mtu anaongea bila kuwa na mtiririko Kama huo wako. Samahani sio nakutukana Ni ukweli
 
Mleta mada hasipuuzwe kitu cha kujiuliza hao wazee wameweza vip kupata karatasi yenye nembo ya chama na kutumia mashine za uchapaji wakat miongoni mwa wamiliki wa waraka anamatatizo ya kuzoom.
 
Na. Masoud Hassan Hamad
16th Julai 2019

BAADA ya kuvuja kwa waraka ulioandaliwa na Nape Nnauye na January Makamba unaowahusisha Mzee Kinana na Mzee Makamba watu wengi wenye mapenzi mema na Wazee hawa wamejiuliza maswali mengi sana.

Kwa nini Nape aandike ampe January ahariri? Kwa nini hilo lifanyike wakati huu baada ya wawili hao kuhusishwa na vinasaba vya ACT Wazalendo?

Imekuwaje wawatumie wazee hao wawili wakati waliotuhumiwa na Musiba ni wengi ndani ya chama na serikali?

Je, nini lengo la vijana hao na hatma yao kisiasa? Na uko wapi uzalendo wa vijana hao kwa taifa?

Baada ya kujiuliza maswali hayo imeeleweka kuwa January Makamba na Nape Nnauye wana hofu kubwa sana ya kutupwa ndani ya CCM kutokana na kushuka katika utendaji kazi wao ndani ya chama. Hili ni kutokana na kwamba kwa sasa vijana hao hawana msaada wowote ndani ya CCM na zaidi wamekisababishia chama madeni makubwa na kukifitinisha na watu mbalimbali ndani ya jamii.

Hayo yote waliyafanya kipindi cha kampeni za 2015 na baada.Vilevile vijana hao wamekuwa wakitapatapa kwa kukosa ushawishi ndani ya chama baada ya kuonekana kuwa na makandokando mengi kwa chama hicho.

Wameamua kuibuka kwa kuwatumia wazee hao wastaafu. Hata hivyo kwa kufanya hivyo sidhani kama watamshawishi mwenyekiti wa chama hicho na viongozi wengine waandamizi wa chama kwani kwa sasa wanachojali viongozi hao ni utendaji kazi tu unaoendana na utekelezaji wa ilani ya 2015 - 2020 ya chama hicho.

Sasa kwa kufanya hivyo kuna mawili ambapo eidha wamejikatia tamaa ndani ya CCM na kutafuta mustakabali wa vyama vingine au wanadhani watapata huruma za wanachama wa CCM.

Lakini binafsi naona ni kama ndo wanazidi kujichimbia kaburi zaidi hasa baada ya siri kufichuliwa kuwa waraka ule uliandaliwa na Nape kisha ukahaririwa na January Makamba na kuusambaza.

Vijana hao wameendeleza harakati za kuudhoofisha uongozi wa Rais Magufuli kwa lengo la kuwalinda baadhi ya watu.

Nadhani kama njia hii wanadhani itamrudisha nyuma Rais Magufuli kwa harakati zake za mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi watakuwa wanakosea sana maana kwa jamaa huyu ni kama ndo wanamchochea kuyatekeleza hayo kwani kila mwenye ovu atafikiwa. Tuwe wapole tutayapata mengi na nchi itasimama kwa heshima. *Hiyo ndiyo imani yangu kwa utawala huu*

Mwisho nimalize kwa kusema *kujenga nchi iliyokuwa inayumba kutokana na watu wanaolea uovu kwa kuwadanganya viongozi wakuu ni kazi sana. Hivyo wapo watakaopinga ili kuficha uovu wao na kujilinda ili waendelee nao na wapo watakaoshabikia ili kuona uovu huo unaendelea ili wapate cha kusema*
Chagua moja kati ya haya
Nape na January watekwe kwa muda wa siku 7 au watengenezewe filamu ya ngono kama Gwajima.
 
youknow
poor analysis.Ithink😂😂😂
 
Hiyo ndio Imani yako mkuu kwahiyo hakuna wakukupinga hali yakuwa uvunji katiba
 
Unajua umuhimu wa nape na January katika uchaguzi wa 2015? Anatekeleza ilani, hiyo ilani ilitayarishwa na kina nani na kina nani walikaa hadi msituni kuipigania ili ipite? NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK
umuhimu wao ni kuchezesha goli la mkono.
 
Boko Haram wakati inaanza Nigeria iliua wakristo kwa wingi mno. lakini hapo baade mpaka sasa inauwa wenzao!!!
 
Kwa mwanamke kuwa mmbea si ishu, kwa mwanamume ni fedheha. Acha umbea!

Back
Top Bottom