Waraka wa Makamba, Kinana siri nje nje

Waraka wa Makamba, Kinana siri nje nje

Naona mtoa mada anataka kutufanya Watanzania wajinga, mapopoma, mamburula au mapoyoyo!
 
Na. Masoud Hassan Hamad
16th Julai 2019

BAADA ya kuvuja kwa waraka ulioandaliwa na Nape Nnauye na January Makamba unaowahusisha Mzee Kinana na Mzee Makamba watu wengi wenye mapenzi mema na Wazee hawa wamejiuliza maswali mengi sana.

Kwa nini Nape aandike ampe January ahariri? Kwa nini hilo lifanyike wakati huu baada ya wawili hao kuhusishwa na vinasaba vya ACT Wazalendo?

Imekuwaje wawatumie wazee hao wawili wakati waliotuhumiwa na Musiba ni wengi ndani ya chama na serikali?

Je, nini lengo la vijana hao na hatma yao kisiasa? Na uko wapi uzalendo wa vijana hao kwa taifa?

Baada ya kujiuliza maswali hayo imeeleweka kuwa January Makamba na Nape Nnauye wana hofu kubwa sana ya kutupwa ndani ya CCM kutokana na kushuka katika utendaji kazi wao ndani ya chama. Hili ni kutokana na kwamba kwa sasa vijana hao hawana msaada wowote ndani ya CCM na zaidi wamekisababishia chama madeni makubwa na kukifitinisha na watu mbalimbali ndani ya jamii.

Hayo yote waliyafanya kipindi cha kampeni za 2015 na baada.Vilevile vijana hao wamekuwa wakitapatapa kwa kukosa ushawishi ndani ya chama baada ya kuonekana kuwa na makandokando mengi kwa chama hicho.

Wameamua kuibuka kwa kuwatumia wazee hao wastaafu. Hata hivyo kwa kufanya hivyo sidhani kama watamshawishi mwenyekiti wa chama hicho na viongozi wengine waandamizi wa chama kwani kwa sasa wanachojali viongozi hao ni utendaji kazi tu unaoendana na utekelezaji wa ilani ya 2015 - 2020 ya chama hicho.

Sasa kwa kufanya hivyo kuna mawili ambapo eidha wamejikatia tamaa ndani ya CCM na kutafuta mustakabali wa vyama vingine au wanadhani watapata huruma za wanachama wa CCM.

Lakini binafsi naona ni kama ndo wanazidi kujichimbia kaburi zaidi hasa baada ya siri kufichuliwa kuwa waraka ule uliandaliwa na Nape kisha ukahaririwa na January Makamba na kuusambaza.

Vijana hao wameendeleza harakati za kuudhoofisha uongozi wa Rais Magufuli kwa lengo la kuwalinda baadhi ya watu.

Nadhani kama njia hii wanadhani itamrudisha nyuma Rais Magufuli kwa harakati zake za mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi watakuwa wanakosea sana maana kwa jamaa huyu ni kama ndo wanamchochea kuyatekeleza hayo kwani kila mwenye ovu atafikiwa. Tuwe wapole tutayapata mengi na nchi itasimama kwa heshima. *Hiyo ndiyo imani yangu kwa utawala huu*

Mwisho nimalize kwa kusema *kujenga nchi iliyokuwa inayumba kutokana na watu wanaolea uovu kwa kuwadanganya viongozi wakuu ni kazi sana. Hivyo wapo watakaopinga ili kuficha uovu wao na kujilinda ili waendelee nao na wapo watakaoshabikia ili kuona uovu huo unaendelea ili wapate cha kusema*
Ujinga ni majaliwa na kwa kweli umejaliwa ujinga kwa sababu hoja zako zinajadili watu badala ya suals la msingi.
 
Kwetu unapokula hupaswi kuongea ongea unakaribisha hatari ya kupaliwa!
 
Huu ni mwandiko wa musiba!!
 
Jamani kwani wastaafu ni hao wawili tu mbona nguvu nyingi zinatumika kuwatetea as if wao ni wasafi kuliko wasitaafu wengine?

Mbona mzee wa msoga na mzee mkapa ni wasitaafu lakini bado watu wanawatukana na kuwachafua but hakuna mtu hata mmoja anejitokeza kuwatetea
 
Na. Masoud Hassan Hamad
16th Julai 2019
Kuna yule mzee mwingine...nani vile...Mzee Athman; na yule "Mwandishi wa Habari", rafiki yake 'Ngurumo'. Na sasa upo wewe "Masoud Hassan Hamad."

Hakika kuna mambo mengi mnayotufunza hapa JF kwa wanaopenda kujifunza na kujua huko mliko hali zenu zilivyo.

Tutaendelea kuwasoma na kujifunza mengi zaidi toka kwenu.
 
Sasa mkuu musiba hujamtaja kabisa je anaingiaje kwenye hiyo barua, musiba ni sisimizi ndani ya CCM anaingiaje kujadiliwa na vikao vya juu vya CCM, tuanzie hapo kwanza ndiyo tuje kwa hao vijana wawili
Huyo ndiye Musiba mwenyewe Mkuu, atajitaja vipi tena?
 
Jamani niulize musiba alishaenda ripoti polisi kwenye wito wa kutoa maelezo?
 
Back
Top Bottom