Waraka wa Makamba, Kinana siri nje nje

Waraka wa Makamba, Kinana siri nje nje

Na. Masoud Hassan Hamad
16th Julai 2019

BAADA ya kuvuja kwa waraka ulioandaliwa na Nape Nnauye na January Makamba unaowahusisha Mzee Kinana na Mzee Makamba watu wengi wenye mapenzi mema na Wazee hawa wamejiuliza maswali mengi sana.

Kwa nini Nape aandike ampe January ahariri? Kwa nini hilo lifanyike wakati huu baada ya wawili hao kuhusishwa na vinasaba vya ACT Wazalendo?

Imekuwaje wawatumie wazee hao wawili wakati waliotuhumiwa na Musiba ni wengi ndani ya chama na serikali?

Je, nini lengo la vijana hao na hatma yao kisiasa? Na uko wapi uzalendo wa vijana hao kwa taifa?

Baada ya kujiuliza maswali hayo imeeleweka kuwa January Makamba na Nape Nnauye wana hofu kubwa sana ya kutupwa ndani ya CCM kutokana na kushuka katika utendaji kazi wao ndani ya chama. Hili ni kutokana na kwamba kwa sasa vijana hao hawana msaada wowote ndani ya CCM na zaidi wamekisababishia chama madeni makubwa na kukifitinisha na watu mbalimbali ndani ya jamii.

Hayo yote waliyafanya kipindi cha kampeni za 2015 na baada.Vilevile vijana hao wamekuwa wakitapatapa kwa kukosa ushawishi ndani ya chama baada ya kuonekana kuwa na makandokando mengi kwa chama hicho.

Wameamua kuibuka kwa kuwatumia wazee hao wastaafu. Hata hivyo kwa kufanya hivyo sidhani kama watamshawishi mwenyekiti wa chama hicho na viongozi wengine waandamizi wa chama kwani kwa sasa wanachojali viongozi hao ni utendaji kazi tu unaoendana na utekelezaji wa ilani ya 2015 - 2020 ya chama hicho.

Sasa kwa kufanya hivyo kuna mawili ambapo eidha wamejikatia tamaa ndani ya CCM na kutafuta mustakabali wa vyama vingine au wanadhani watapata huruma za wanachama wa CCM.

Lakini binafsi naona ni kama ndo wanazidi kujichimbia kaburi zaidi hasa baada ya siri kufichuliwa kuwa waraka ule uliandaliwa na Nape kisha ukahaririwa na January Makamba na kuusambaza.

Vijana hao wameendeleza harakati za kuudhoofisha uongozi wa Rais Magufuli kwa lengo la kuwalinda baadhi ya watu.

Nadhani kama njia hii wanadhani itamrudisha nyuma Rais Magufuli kwa harakati zake za mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi watakuwa wanakosea sana maana kwa jamaa huyu ni kama ndo wanamchochea kuyatekeleza hayo kwani kila mwenye ovu atafikiwa. Tuwe wapole tutayapata mengi na nchi itasimama kwa heshima. *Hiyo ndiyo imani yangu kwa utawala huu*

Mwisho nimalize kwa kusema *kujenga nchi iliyokuwa inayumba kutokana na watu wanaolea uovu kwa kuwadanganya viongozi wakuu ni kazi sana. Hivyo wapo watakaopinga ili kuficha uovu wao na kujilinda ili waendelee nao na wapo watakaoshabikia ili kuona uovu huo unaendelea ili wapate cha kusema*
Kwa akili hizi za UVCCM hata mimi ningekuwa JPM ningeteua vijana wa BAVICHA kwa maendeleo ya nchi. BAViCHA waliopata uteuzi wako kimya wanamsaidia Mzee.
 
Acha umbea mtoto wa kiume.Fanya kazi
Atakulaje???? Hawa wanategemea midomo na umbeya kula tukishawapa uongozi tunaanza kuwatukuza na kuwaona familia zenye uwezo mkubwa...

Aibu ya kuacha unafiki,umbeya, unyanyasaji na uonevu imebaki kwa binadamu wachache saana barani mwetu.

Walio wengi wapo radhi wawanafikie binadamu wenzao, waongope ili tu wale.
 
Sasa kwa kufanya hivyo kuna mawili ambapo eidha wamejikatia tamaa ndani ya CCM na kutafuta mustakabali wa vyama vingine au wanadhani watapata huruma za wanachama wa CCM.

Lakini binafsi naona ni kama ndo wanazidi kujichimbia kaburi zaidi hasa baada ya siri kufichuliwa kuwa waraka ule uliandaliwa na Nape kisha ukahaririwa na January Makamba na kuusambaza.

Vijana hao wameendeleza harakati za kuudhoofisha uongozi wa Rais Magufuli kwa lengo la kuwalinda baadhi ya watu.

Hapa ndiyo kiini cha thread yako, yaani umeona makatibu wakuu wa CCM hawawezi kuandika hadi waandikiwe. Kwa sababu Mzee Makamba ni mmoja wapo basi ukaunganisha na mwanawe January. Hapohapo ukamtupia ndani Nape. Ukawaunganisha na upinzani na harakati za kumkwamisha sijui nani. Huu ndio umbea kwani hakuna mahali hata pamoja ulipo onyesha andiko hilo ni la January na Nape. Wote wawili siwafagilii lakini hapa mkuu unatulisha matango pori. Hata hivyo wao waendelee kutifuana tu nawe mwaga petroli kwenye moto hadi tuheshimiane. Acha CCM IKUKULE CCM.
 
Na. Masoud Hassan Hamad
16th Julai 2019

BAADA ya kuvuja kwa waraka ulioandaliwa na Nape Nnauye na January Makamba unaowahusisha Mzee Kinana na Mzee Makamba watu wengi wenye mapenzi mema na Wazee hawa wamejiuliza maswali mengi sana.

Kwa nini Nape aandike ampe January ahariri? Kwa nini hilo lifanyike wakati huu baada ya wawili hao kuhusishwa na vinasaba vya ACT Wazalendo?

Imekuwaje wawatumie wazee hao wawili wakati waliotuhumiwa na Musiba ni wengi ndani ya chama na serikali?

Je, nini lengo la vijana hao na hatma yao kisiasa? Na uko wapi uzalendo wa vijana hao kwa taifa?

Baada ya kujiuliza maswali hayo imeeleweka kuwa January Makamba na Nape Nnauye wana hofu kubwa sana ya kutupwa ndani ya CCM kutokana na kushuka katika utendaji kazi wao ndani ya chama. Hili ni kutokana na kwamba kwa sasa vijana hao hawana msaada wowote ndani ya CCM na zaidi wamekisababishia chama madeni makubwa na kukifitinisha na watu mbalimbali ndani ya jamii.

Hayo yote waliyafanya kipindi cha kampeni za 2015 na baada.Vilevile vijana hao wamekuwa wakitapatapa kwa kukosa ushawishi ndani ya chama baada ya kuonekana kuwa na makandokando mengi kwa chama hicho.

Wameamua kuibuka kwa kuwatumia wazee hao wastaafu. Hata hivyo kwa kufanya hivyo sidhani kama watamshawishi mwenyekiti wa chama hicho na viongozi wengine waandamizi wa chama kwani kwa sasa wanachojali viongozi hao ni utendaji kazi tu unaoendana na utekelezaji wa ilani ya 2015 - 2020 ya chama hicho.

Sasa kwa kufanya hivyo kuna mawili ambapo eidha wamejikatia tamaa ndani ya CCM na kutafuta mustakabali wa vyama vingine au wanadhani watapata huruma za wanachama wa CCM.

Lakini binafsi naona ni kama ndo wanazidi kujichimbia kaburi zaidi hasa baada ya siri kufichuliwa kuwa waraka ule uliandaliwa na Nape kisha ukahaririwa na January Makamba na kuusambaza.

Vijana hao wameendeleza harakati za kuudhoofisha uongozi wa Rais Magufuli kwa lengo la kuwalinda baadhi ya watu.

Nadhani kama njia hii wanadhani itamrudisha nyuma Rais Magufuli kwa harakati zake za mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi watakuwa wanakosea sana maana kwa jamaa huyu ni kama ndo wanamchochea kuyatekeleza hayo kwani kila mwenye ovu atafikiwa. Tuwe wapole tutayapata mengi na nchi itasimama kwa heshima. *Hiyo ndiyo imani yangu kwa utawala huu*

Mwisho nimalize kwa kusema *kujenga nchi iliyokuwa inayumba kutokana na watu wanaolea uovu kwa kuwadanganya viongozi wakuu ni kazi sana. Hivyo wapo watakaopinga ili kuficha uovu wao na kujilinda ili waendelee nao na wapo watakaoshabikia ili kuona uovu huo unaendelea ili wapate cha kusema*
Crap.

Kwenye awamu hii sijaona waziri Makini, mwenye akili nyingi. Ambaye anaweza kuja kuwa great president kama January Makamba
 
Ningekua mimi Magufuli nisingewachelewesha hata kidogo
 
Wewe kweli mpumbavu ,umeusoma ule waraka wa makamba sr na kinana?
Kipi kisshughulikiwe yaliyomo kwenye waraka au watunzi wa waraka?unadhani mzee kinana na mzee makamba wanashindwa kuandika ule waraka mpaka wasaidiwe akili?
Tutolee ubwege wako hapa ,watu wasihangaike na" Msiba"wahangaike na wahanga wa "misiba"?
Nyambaf sana wewe
 
Na. Masoud Hassan Hamad
16th Julai 2019

BAADA ya kuvuja kwa waraka ulioandaliwa na Nape Nnauye na January Makamba unaowahusisha Mzee Kinana na Mzee Makamba watu wengi wenye mapenzi mema na Wazee hawa wamejiuliza maswali mengi sana.

Kwa nini Nape aandike ampe January ahariri? Kwa nini hilo lifanyike wakati huu baada ya wawili hao kuhusishwa na vinasaba vya ACT Wazalendo?

Imekuwaje wawatumie wazee hao wawili wakati waliotuhumiwa na Musiba ni wengi ndani ya chama na serikali?

Je, nini lengo la vijana hao na hatma yao kisiasa? Na uko wapi uzalendo wa vijana hao kwa taifa?

Baada ya kujiuliza maswali hayo imeeleweka kuwa January Makamba na Nape Nnauye wana hofu kubwa sana ya kutupwa ndani ya CCM kutokana na kushuka katika utendaji kazi wao ndani ya chama. Hili ni kutokana na kwamba kwa sasa vijana hao hawana msaada wowote ndani ya CCM na zaidi wamekisababishia chama madeni makubwa na kukifitinisha na watu mbalimbali ndani ya jamii.

Hayo yote waliyafanya kipindi cha kampeni za 2015 na baada.Vilevile vijana hao wamekuwa wakitapatapa kwa kukosa ushawishi ndani ya chama baada ya kuonekana kuwa na makandokando mengi kwa chama hicho.

Wameamua kuibuka kwa kuwatumia wazee hao wastaafu. Hata hivyo kwa kufanya hivyo sidhani kama watamshawishi mwenyekiti wa chama hicho na viongozi wengine waandamizi wa chama kwani kwa sasa wanachojali viongozi hao ni utendaji kazi tu unaoendana na utekelezaji wa ilani ya 2015 - 2020 ya chama hicho.

Sasa kwa kufanya hivyo kuna mawili ambapo eidha wamejikatia tamaa ndani ya CCM na kutafuta mustakabali wa vyama vingine au wanadhani watapata huruma za wanachama wa CCM.

Lakini binafsi naona ni kama ndo wanazidi kujichimbia kaburi zaidi hasa baada ya siri kufichuliwa kuwa waraka ule uliandaliwa na Nape kisha ukahaririwa na January Makamba na kuusambaza.

Vijana hao wameendeleza harakati za kuudhoofisha uongozi wa Rais Magufuli kwa lengo la kuwalinda baadhi ya watu.

Nadhani kama njia hii wanadhani itamrudisha nyuma Rais Magufuli kwa harakati zake za mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi watakuwa wanakosea sana maana kwa jamaa huyu ni kama ndo wanamchochea kuyatekeleza hayo kwani kila mwenye ovu atafikiwa. Tuwe wapole tutayapata mengi na nchi itasimama kwa heshima. *Hiyo ndiyo imani yangu kwa utawala huu*

Mwisho nimalize kwa kusema *kujenga nchi iliyokuwa inayumba kutokana na watu wanaolea uovu kwa kuwadanganya viongozi wakuu ni kazi sana. Hivyo wapo watakaopinga ili kuficha uovu wao na kujilinda ili waendelee nao na wapo watakaoshabikia ili kuona uovu huo unaendelea ili wapate cha kusema*
Mpumbavu mkubwa wee!
 
Yaan huwa nashangaa mtu akipaza sauti kuwa MAGUFULI ANAKUZA UCHUMI..
JAMANI HIVI KUMBE WATANZANIA NI WAPUMBAVU NA MALOFA KIASI HIKI?

MAISHA YA WATU HAYAHITAJI USHABIKI NI JUST REALITY..

Ujinga na upumbavu ndio umetufikisha hapa.. tumadilike tutafute maendeleo ya kweli sio upumbavu huu wa MAGUFULI.
 
Na. Masoud Hassan Hamad
16th Julai 2019

BAADA ya kuvuja kwa waraka ulioandaliwa na Nape Nnauye na January Makamba unaowahusisha Mzee Kinana na Mzee Makamba watu wengi wenye mapenzi mema na Wazee hawa wamejiuliza maswali mengi sana.

Kwa nini Nape aandike ampe January ahariri? Kwa nini hilo lifanyike wakati huu baada ya wawili hao kuhusishwa na vinasaba vya ACT Wazalendo?

Imekuwaje wawatumie wazee hao wawili wakati waliotuhumiwa na Musiba ni wengi ndani ya chama na serikali?

Je, nini lengo la vijana hao na hatma yao kisiasa? Na uko wapi uzalendo wa vijana hao kwa taifa?

Baada ya kujiuliza maswali hayo imeeleweka kuwa January Makamba na Nape Nnauye wana hofu kubwa sana ya kutupwa ndani ya CCM kutokana na kushuka katika utendaji kazi wao ndani ya chama. Hili ni kutokana na kwamba kwa sasa vijana hao hawana msaada wowote ndani ya CCM na zaidi wamekisababishia chama madeni makubwa na kukifitinisha na watu mbalimbali ndani ya jamii.

Hayo yote waliyafanya kipindi cha kampeni za 2015 na baada.Vilevile vijana hao wamekuwa wakitapatapa kwa kukosa ushawishi ndani ya chama baada ya kuonekana kuwa na makandokando mengi kwa chama hicho.

Wameamua kuibuka kwa kuwatumia wazee hao wastaafu. Hata hivyo kwa kufanya hivyo sidhani kama watamshawishi mwenyekiti wa chama hicho na viongozi wengine waandamizi wa chama kwani kwa sasa wanachojali viongozi hao ni utendaji kazi tu unaoendana na utekelezaji wa ilani ya 2015 - 2020 ya chama hicho.

Sasa kwa kufanya hivyo kuna mawili ambapo eidha wamejikatia tamaa ndani ya CCM na kutafuta mustakabali wa vyama vingine au wanadhani watapata huruma za wanachama wa CCM.

Lakini binafsi naona ni kama ndo wanazidi kujichimbia kaburi zaidi hasa baada ya siri kufichuliwa kuwa waraka ule uliandaliwa na Nape kisha ukahaririwa na January Makamba na kuusambaza.

Vijana hao wameendeleza harakati za kuudhoofisha uongozi wa Rais Magufuli kwa lengo la kuwalinda baadhi ya watu.

Nadhani kama njia hii wanadhani itamrudisha nyuma Rais Magufuli kwa harakati zake za mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi watakuwa wanakosea sana maana kwa jamaa huyu ni kama ndo wanamchochea kuyatekeleza hayo kwani kila mwenye ovu atafikiwa. Tuwe wapole tutayapata mengi na nchi itasimama kwa heshima. *Hiyo ndiyo imani yangu kwa utawala huu*

Mwisho nimalize kwa kusema *kujenga nchi iliyokuwa inayumba kutokana na watu wanaolea uovu kwa kuwadanganya viongozi wakuu ni kazi sana. Hivyo wapo watakaopinga ili kuficha uovu wao na kujilinda ili waendelee nao na wapo watakaoshabikia ili kuona uovu huo unaendelea ili wapate cha kusema*
vita ni vita Muraa, wataumbuka wote
 
Hahahahahahahahah........

Malengo yako kuwapa presha hao vija.
Utakua team bashite wewe.
 
Eti wanachojali viongozi hao ni utendaji wa kazi unaoendana na utekelezaji wa ilani ya ccm 2015 mpaka 2020, pumbavu.

Alafu ni kukumbushe umesaau no ya cm.
 
Na. Masoud Hassan Hamad
16th Julai 2019

BAADA ya kuvuja kwa waraka ulioandaliwa na Nape Nnauye na January Makamba unaowahusisha Mzee Kinana na Mzee Makamba watu wengi wenye mapenzi mema na Wazee hawa wamejiuliza maswali mengi sana.

Kwa nini Nape aandike ampe January ahariri? Kwa nini hilo lifanyike wakati huu baada ya wawili hao kuhusishwa na vinasaba vya ACT Wazalendo?

Imekuwaje wawatumie wazee hao wawili wakati waliotuhumiwa na Musiba ni wengi ndani ya chama na serikali?

Je, nini lengo la vijana hao na hatma yao kisiasa? Na uko wapi uzalendo wa vijana hao kwa taifa?

Baada ya kujiuliza maswali hayo imeeleweka kuwa January Makamba na Nape Nnauye wana hofu kubwa sana ya kutupwa ndani ya CCM kutokana na kushuka katika utendaji kazi wao ndani ya chama. Hili ni kutokana na kwamba kwa sasa vijana hao hawana msaada wowote ndani ya CCM na zaidi wamekisababishia chama madeni makubwa na kukifitinisha na watu mbalimbali ndani ya jamii.

Hayo yote waliyafanya kipindi cha kampeni za 2015 na baada.Vilevile vijana hao wamekuwa wakitapatapa kwa kukosa ushawishi ndani ya chama baada ya kuonekana kuwa na makandokando mengi kwa chama hicho.

Wameamua kuibuka kwa kuwatumia wazee hao wastaafu. Hata hivyo kwa kufanya hivyo sidhani kama watamshawishi mwenyekiti wa chama hicho na viongozi wengine waandamizi wa chama kwani kwa sasa wanachojali viongozi hao ni utendaji kazi tu unaoendana na utekelezaji wa ilani ya 2015 - 2020 ya chama hicho.

Sasa kwa kufanya hivyo kuna mawili ambapo eidha wamejikatia tamaa ndani ya CCM na kutafuta mustakabali wa vyama vingine au wanadhani watapata huruma za wanachama wa CCM.

Lakini binafsi naona ni kama ndo wanazidi kujichimbia kaburi zaidi hasa baada ya siri kufichuliwa kuwa waraka ule uliandaliwa na Nape kisha ukahaririwa na January Makamba na kuusambaza.

Vijana hao wameendeleza harakati za kuudhoofisha uongozi wa Rais Magufuli kwa lengo la kuwalinda baadhi ya watu.

Nadhani kama njia hii wanadhani itamrudisha nyuma Rais Magufuli kwa harakati zake za mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi watakuwa wanakosea sana maana kwa jamaa huyu ni kama ndo wanamchochea kuyatekeleza hayo kwani kila mwenye ovu atafikiwa. Tuwe wapole tutayapata mengi na nchi itasimama kwa heshima. *Hiyo ndiyo imani yangu kwa utawala huu*

Mwisho nimalize kwa kusema *kujenga nchi iliyokuwa inayumba kutokana na watu wanaolea uovu kwa kuwadanganya viongozi wakuu ni kazi sana. Hivyo wapo watakaopinga ili kuficha uovu wao na kujilinda ili waendelee nao na wapo watakaoshabikia ili kuona uovu huo unaendelea ili wapate cha kusema*
Rubbish
 
Huyu naye anaona ameleta hoja? Maandishi yote yamejaa umbeya, hakuna uthibitisho hata mmoja.

This can only come from a low mind!
 
Utakuwa ni Musiba, sio bure aisee
 
Back
Top Bottom