Waraka wa Makamba, Kinana siri nje nje

Waraka wa Makamba, Kinana siri nje nje

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
319
Reaction score
755
Na. Masoud Hassan Hamad
16th Julai 2019

BAADA ya kuvuja kwa waraka ulioandaliwa na Nape Nnauye na January Makamba unaowahusisha Mzee Kinana na Mzee Makamba watu wengi wenye mapenzi mema na Wazee hawa wamejiuliza maswali mengi sana.

Kwa nini Nape aandike ampe January ahariri? Kwa nini hilo lifanyike wakati huu baada ya wawili hao kuhusishwa na vinasaba vya ACT Wazalendo?

Imekuwaje wawatumie wazee hao wawili wakati waliotuhumiwa na Musiba ni wengi ndani ya chama na serikali?

Je, nini lengo la vijana hao na hatma yao kisiasa? Na uko wapi uzalendo wa vijana hao kwa taifa?

Baada ya kujiuliza maswali hayo imeeleweka kuwa January Makamba na Nape Nnauye wana hofu kubwa sana ya kutupwa ndani ya CCM kutokana na kushuka katika utendaji kazi wao ndani ya chama. Hili ni kutokana na kwamba kwa sasa vijana hao hawana msaada wowote ndani ya CCM na zaidi wamekisababishia chama madeni makubwa na kukifitinisha na watu mbalimbali ndani ya jamii.

Hayo yote waliyafanya kipindi cha kampeni za 2015 na baada.Vilevile vijana hao wamekuwa wakitapatapa kwa kukosa ushawishi ndani ya chama baada ya kuonekana kuwa na makandokando mengi kwa chama hicho.

Wameamua kuibuka kwa kuwatumia wazee hao wastaafu. Hata hivyo kwa kufanya hivyo sidhani kama watamshawishi mwenyekiti wa chama hicho na viongozi wengine waandamizi wa chama kwani kwa sasa wanachojali viongozi hao ni utendaji kazi tu unaoendana na utekelezaji wa ilani ya 2015 - 2020 ya chama hicho.

Sasa kwa kufanya hivyo kuna mawili ambapo eidha wamejikatia tamaa ndani ya CCM na kutafuta mustakabali wa vyama vingine au wanadhani watapata huruma za wanachama wa CCM.

Lakini binafsi naona ni kama ndo wanazidi kujichimbia kaburi zaidi hasa baada ya siri kufichuliwa kuwa waraka ule uliandaliwa na Nape kisha ukahaririwa na January Makamba na kuusambaza.

Vijana hao wameendeleza harakati za kuudhoofisha uongozi wa Rais Magufuli kwa lengo la kuwalinda baadhi ya watu.

Nadhani kama njia hii wanadhani itamrudisha nyuma Rais Magufuli kwa harakati zake za mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi watakuwa wanakosea sana maana kwa jamaa huyu ni kama ndo wanamchochea kuyatekeleza hayo kwani kila mwenye ovu atafikiwa. Tuwe wapole tutayapata mengi na nchi itasimama kwa heshima. *Hiyo ndiyo imani yangu kwa utawala huu*

Mwisho nimalize kwa kusema *kujenga nchi iliyokuwa inayumba kutokana na watu wanaolea uovu kwa kuwadanganya viongozi wakuu ni kazi sana. Hivyo wapo watakaopinga ili kuficha uovu wao na kujilinda ili waendelee nao na wapo watakaoshabikia ili kuona uovu huo unaendelea ili wapate cha kusema*
 
pumbavu huna lolote
 
ISSUE ikua ni (Msiba wa Taifa) hujaligusa hilo siamini kama umefanya hivyo kibahati mbaya mrukia Kinana na Nape nisawa na kujikojolea sualini jipange uje tena lkn c kwa utetezi manyago yenu ni mingi kuliko uelewa wako!!
 
Kibogoyo shenzi ww
 
Mtaani kwangu watu wengi sana wamefurahi walichofanya wazee hawa, sasa sjui wewe hao wanaohoji wanatoka mitaa ipi asitoke hata mmoja mtaani kwangu?
Ukiwa mpumbavu huwezi kutafakari mambo nje ya box utakuwa wa kulamba miguu ya watawala hata unajikuta unaandika mambo ya kipumbavu humu jf
 
Wendawazimu sio lazima uvue nguo au uokote makopo! Mnahangaika na miposti ya kuagua kama waganga wa kienyeji kwa sababu ya mitumbo yenu!!

Na bado 2020 haijafika, baada ya kuandaa majeshi kwa kujengea nyumba sasa mtapiga magoti kuwaamukia wapiga kura!!
 
Na. Masoud Hassan Hamad
16th Julai 2019

BAADA ya kuvuja kwa waraka ulioandaliwa na Nape Nnauye na January Makamba unaowahusisha Mzee Kinana na Mzee Makamba watu wengi wenye mapenzi mema na Wazee hawa wamejiuliza maswali mengi sana.

Kwa nini Nape aandike ampe January ahariri? Kwa nini hilo lifanyike wakati huu baada ya wawili hao kuhusishwa na vinasaba vya ACT Wazalendo?

Imekuwaje wawatumie wazee hao wawili wakati waliotuhumiwa na Musiba ni wengi ndani ya chama na serikali?

Je, nini lengo la vijana hao na hatma yao kisiasa? Na uko wapi uzalendo wa vijana hao kwa taifa?

Baada ya kujiuliza maswali hayo imeeleweka kuwa January Makamba na Nape Nnauye wana hofu kubwa sana ya kutupwa ndani ya CCM kutokana na kushuka katika utendaji kazi wao ndani ya chama. Hili ni kutokana na kwamba kwa sasa vijana hao hawana msaada wowote ndani ya CCM na zaidi wamekisababishia chama madeni makubwa na kukifitinisha na watu mbalimbali ndani ya jamii.

Hayo yote waliyafanya kipindi cha kampeni za 2015 na baada.Vilevile vijana hao wamekuwa wakitapatapa kwa kukosa ushawishi ndani ya chama baada ya kuonekana kuwa na makandokando mengi kwa chama hicho.

Wameamua kuibuka kwa kuwatumia wazee hao wastaafu. Hata hivyo kwa kufanya hivyo sidhani kama watamshawishi mwenyekiti wa chama hicho na viongozi wengine waandamizi wa chama kwani kwa sasa wanachojali viongozi hao ni utendaji kazi tu unaoendana na utekelezaji wa ilani ya 2015 - 2020 ya chama hicho.

Sasa kwa kufanya hivyo kuna mawili ambapo eidha wamejikatia tamaa ndani ya CCM na kutafuta mustakabali wa vyama vingine au wanadhani watapata huruma za wanachama wa CCM.

Lakini binafsi naona ni kama ndo wanazidi kujichimbia kaburi zaidi hasa baada ya siri kufichuliwa kuwa waraka ule uliandaliwa na Nape kisha ukahaririwa na January Makamba na kuusambaza.

Vijana hao wameendeleza harakati za kuudhoofisha uongozi wa Rais Magufuli kwa lengo la kuwalinda baadhi ya watu.

Nadhani kama njia hii wanadhani itamrudisha nyuma Rais Magufuli kwa harakati zake za mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi watakuwa wanakosea sana maana kwa jamaa huyu ni kama ndo wanamchochea kuyatekeleza hayo kwani kila mwenye ovu atafikiwa. Tuwe wapole tutayapata mengi na nchi itasimama kwa heshima. *Hiyo ndiyo imani yangu kwa utawala huu*

Mwisho nimalize kwa kusema *kujenga nchi iliyokuwa inayumba kutokana na watu wanaolea uovu kwa kuwadanganya viongozi wakuu ni kazi sana. Hivyo wapo watakaopinga ili kuficha uovu wao na kujilinda ili waendelee nao na wapo watakaoshabikia ili kuona uovu huo unaendelea ili wapate cha kusema*
Stupid and rubbidh thread! Nonsense!
 
Naona mnalazimisha kumuhusisha Nape na Makamba Jnr. Kwani Dentist na Makamba Snr hawajui kusoma na kuandika(kuhariri??)....2020 itapendeza sana
 
Nadhani kama njia hii wanadhani itamrudisha nyuma Rais Magufuli kwa harakati zake za mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi watakuwa wanakosea sana maana kwa jamaa huyu ni kama ndo wanamchochea kuyatekeleza hayo kwani kila mwenye ovu atafikiwa. Tuwe wapole tutayapata mengi na nchi itasimama kwa heshima. *Hiyo ndiyo imani yangu kwa utawala huu*
kujipendekeza ni dalili ya ushoga.
 
Nyie ndio mapandikizi ya watu walio nyuma ya huyo mwenye hayo magazeti

wale wazee walishastaafu wanahitaji waachwe wapumzike sasa kwa sababu mpo kama bendera mbele ya wenye madaraka mnakwepesha kinaufiki
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Musiba na makatibu wakuu wawili wastaafu wa ccm uzito unaegemea wapi!!

Mtoa mada ni mufilisi
 
CRAP!

Back
Top Bottom