Waraka toka Ikulu: Hebu tuujadili...

Waraka toka Ikulu: Hebu tuujadili...

Inawezekana huu waraka umetolewa na Salma Kikwete kwa mgongo wa Ikulu.
Si ajabu Ikulu imekuja kustukia tayari kwaraka upo mitaani, hawakuwa na jinsi.
 
huu sasa ni upuuzi; kama kweli walichoandika Ikulu ni cha kweli kutoa tamko ni kuthibitisha hofu yetu sisi wengine. Kuna watu hawana kazi isipokuwa kufikiria kila siku watoe tamko gani. Ina maana kweli hakuna mtu huko Ikulu ambaye angewashauri NINI hasa cha kufanya badala ya kutoa tamko?
@Mzee Mwanakijiji, kama walishindwa kuchukua hatua stahiki wka watu walioiba kutoka kwenye hazina ya Taiofa, unadhani wanaweza kupoteza muda wao kuchukua hatua kwa 'petty thief?'
 
Mialiko mbalimbali ya Mama Salma Kikwete yanaratibiwa na Kurugenzi ya masawasiliano Ikulu? Wao kurugenzi ya mawasiliano wametoa hii taarifa kama nani? Na kama mtu anatumia jina la mtu bila ridhaa ya huyo mtu sheria inasemaje?
 
Hivi kweli katika Tanzania ya leo na uongozi wake ulioko madarakani bado kuna Mtanzania ambaye yuko tayari tu kutoa mchango eti kwa vile mchangishaji mkuu ni mke wa Rais?.
Hainiingii akilini.
 
Jamani jf! Mmesahau mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu ni mshkaji wa pezda? Hivi sasa amesahau taaluma yake na kuwa mkanushaji wa kila linalo lenga familia ya prezda. Ukubwa mtamu bwana! Hahahaaaaaa
 
Nadhani huyu jamaa amempendelea sana Mama Kikwete, amempa fursa ya kufanya yale haswa anayotakiwa kufanya. Wakurupukaji tu ndiyo wameshindwa kuliweka sawa.
Kwani wameshindwa nini kuhakikisha kuwa fedha zikikusanywa zinasimamiwa vizuri ili kuinua elimu ya watoto kwenye hiyo shule?
Wakati mwingine unaweza kuletewa fursa nzuri ya kuwa Raia mwema ukajiona uko kwenye nafasi ya kustahili heshima sana ukaikataa au kuichafua ile nafasi. Inawezekana sana kwa jinsi ninavyoona, kuna mtu alimuahidi huyu jamaa kwamba atamsaidia kwenda kufikisha ujumbe wake kwa Mama, lakini jamaa akaharakisha kabla hata habari hazijamfikia.
Mtu mwenye busara kukataa kusaidia shue ya watoto wadogo, labda kuna jambo tusilolifahamu hapo!
huyu jamaa angekuwa mhindi au mzungu wasingechonga hivi,shule ingekuwa masaki.obay au mjini kati asingepata shida zote hizi,au kuna watu walitaka ndo wacoordinate ili waibe michango wamekwama. Kila mtu nchi hii ana haki kwenda Ikulu na kuomba presenceya Rais, 1st Lady, PM etc.

Hovyoooo
 
huu sasa ni upuuzi; kama kweli walichoandika Ikulu ni cha kweli kutoa tamko ni kuthibitisha hofu yetu sisi wengine. Kuna watu hawana kazi isipokuwa kufikiria kila siku watoe tamko gani. Ina maana kweli hakuna mtu huko Ikulu ambaye angewashauri NINI hasa cha kufanya badala ya kutoa tamko?

Kuna matatizo kiutendaji katika ofisi ya Ikulu, hawajui wachukue hatua gani kwa wakati gani na kwa watu gani
 
...Ingawa na mimi sio muandishi mzuri sana, lakini baada ya kuona waraka umetoka IKULU, nikajikita kusoma kwa umakini; nimegundua makosa mengi; mfano tu maneno hayakutenganishwa; neno linafuata baada ya mkato an nukta hakuna nafasi; haya ni baadhi tu. Je! alikuwa na haraka gani? au huu siyo waraka halisi; umewekwa hapa kabla haujahaririwa na mwandishi? Vinginevyo sina maoni kwa mada yenyewe hasa kwa ujumla.
 
huu sasa ni upuuzi; kama kweli walichoandika Ikulu ni cha kweli kutoa tamko ni kuthibitisha hofu yetu sisi wengine. Kuna watu hawana kazi isipokuwa kufikiria kila siku watoe tamko gani. Ina maana kweli hakuna mtu huko Ikulu ambaye angewashauri NINI hasa cha kufanya badala ya kutoa tamko?

Kuna siku niliandika humu nikasema "tusishangae siku moja kuona wakitoa tamko kukanusha kwamba RIz1 sio mtoto wa JK"... bado nalingojea hilo tamko

Hicho kitengo cha matamko kina vilaza wa ajabu sana
 
Kielelezo kingine kwamba Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu hawana kazi au kama wanazo basi hawajui majukumu yao. Hili ni tamko la pili lisilo na mashiko!

1. Mnakiri kwamba anachofanya huyo jamaa ni kosa la Jinai, yet mnaishia kutoa tamko!

2. Mnatumia ofisi moja kukanusha taarifa zinazohusu mambo binafsi ya mtu anayefanya kazi ofisi nyingine. Kwani WAMA hawana PR Ofisa!?
 
Kumbe madikteta mpo wengi? kwani Ikulu kazi yake ni kukamata watu?

Ndio,
kama anahisi hakutendewa vema ni bora wangemtafuta mhusika na kumalizana naye kuliko matamko kwenye vyombo vya habari ambayo inamdhalilisha zaidi 1st lady.
 
Si sahihi...Hivi wake za viongozi nao ni viongozi wa umma? Mama Salma Kikwete si kiongozi wa kitaifa ila anaweza kuwa kiongozi wa familia yake na si vinginevyo.

Kama hii taarifa ni ya kweli basi kuna watu pale Ikulu hawana kazi za kufanya na pili Ikulu hiyo haina washauri kwa maana ya watendaji wanaojua nini cha kufanya. Kama kulikuwa na ulazima wa kutoa waraka huo basi ungetolewa kupitia asasi yake WAMA na si Ikulu!

Mkuu hawezi kuwa hata kiongozi wa familia wakati mumewe yupo.
 
Kielelezo kingine kwamba Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu hawana kazi au kama wanazo basi hawajui majukumu yao. Hili ni tamko la pili lisilo na mashiko!

1. Mnakiri kwamba anachofanya huyo jamaa ni kosa la Jinai, yet mnaishia kutoa tamko!

2. Mnatumia ofisi moja kukanusha taarifa zinazohusu mambo binafsi ya mtu anayefanya kazi ofisi nyingine. Kwani WAMA hawana PR Ofisa!?

Mkuu umemaliza kila kitu hapa,
Hii inayoitwa kurugenzi ya Ikulu imepotea kabisa na nahisi hawajui walifanyalo kwa sasa.
 
haiwezekani watu watumie majina ya viongozi wa umma hata kama ni wake za viongozi halafu nchi ikae kimya.huyu anapaswa kushughulikiwa ipasavyo.waraka umetolewa wakati muafaka
 
huyu anaetumia ofisi za umma kwa maslahi binafsi awajibishwe haraka,ana kesi ya kujibu huyu
 
Naomba kuuliza,

Ni tangia lini mke wa raisi amepandishwa cheo na kuitwa Mheshimiwa Salma Kikwete ?
Ninavyojua waheshimiwa ni wabunge na hakimu au?

Back
Top Bottom