Waraka toka Ikulu: Hebu tuujadili...

Waraka toka Ikulu: Hebu tuujadili...

Kama ni kosa la jinai kama walivyoidhinisha ktk tamko lao, kwani vyombo vya sheria vimeenda likizo? basi vitumike kumwajibisha mapema iwezekanavyo au ni tume inangojewa kuuna?
 
Ina maana ikulu imeshidwa kwenda kumkamata mtu mmoja hadi watoe tamko? nina wasi wasi hii shule ni yao wanaipa promo...

Mie nahisi hiyo Shule ni ya kwake huyo Mama,ila amepima upepo akaona akanushe mapema kuhusu hiyo Michango kwani anayajua matumizi tofauti ya hiyo michango,ili kesho na kesho kutwa yasiponunuliwa Madawati na kusipojengwa Uzio ,asionekane Mama ndiye katafuna Mpunga.
 
huu sasa ni upuuzi; kama kweli walichoandika Ikulu ni cha kweli kutoa tamko ni kuthibitisha hofu yetu sisi wengine. Kuna watu hawana kazi isipokuwa kufikiria kila siku watoe tamko gani. Ina maana kweli hakuna mtu huko Ikulu ambaye angewashauri NINI hasa cha kufanya badala ya kutoa tamko?

Mkuuu umeniwai.Pale ikulu kuna tatizo moja kuwa wanakimbilia kujibu hoja za kipuuzi sana kuliko majibu yanaikabili serikali yetu.Mbona awajibu kama serikali imefirisika.Hapa ni kukimbia tatizo na kufunika aibu
 
huu sasa ni upuuzi; kama kweli walichoandika Ikulu ni cha kweli kutoa tamko ni kuthibitisha hofu yetu sisi wengine. Kuna watu hawana kazi isipokuwa kufikiria kila siku watoe tamko gani. Ina maana kweli hakuna mtu huko Ikulu ambaye angewashauri NINI hasa cha kufanya badala ya kutoa tamko?

Mkuuu umeniwai.Pale ikulu kuna tatizo moja kuwa wanakimbilia kujibu hoja za kipuuzi sana kuliko majibu yanaikabili serikali yetu.Mbona awajibu kama serikali imefirisika.Hapa ni kukimbia tatizo na kufunika aibu
 
Serikali inalalamika wananchi wanalalamika,hivi mtuhumiwa analalamikiwa au anakamatwa na kutiwa ndani kwa mahojiano zaidi?Huu umwinyi(kutofikiri zaidi ya kukurupuka) wa Serikali hii itatupeleka chaka
 
Ikulu imepoteza thamani yake kama imefikia hatua ya kutoa matamko ambayo hayana tija mbele ya umma wa watanzania. Mangapi yanaisibu hii nchi na kuhitaji matamko kutoka ikulu na hayatolewi zaidi ya kutoka kwenye jambo kama hili? Kama huyo mtu amekosea si angeenda kukamatwa na kufikishwa panapohusika? Kuliko eti kurugenzi nzima ya habari ya ikulu inapoteza resources kutoa tamko kama hili damn it...! Hii nchi imeoza kabisaa na ninawashangaa hao wanaoipongeza nchi hii kwa utawala bora sheinz.
 
salma kikwete ni mke wa Rais a.k.a First Lady so mtu yoyote binafsi akitumia jina la first lady kwa shuhuli zake binafasi bila kupata idhini kwa either mama mwenyewe au ofisi ya mke wa rais then ikulu ina haki ya kutoa hilo tamko... mitchelle obama angefanyiwa hivi white house inge release a statement coz first lady ni mke wa Rais and anakua protected na usalama wa taifa na ikulu in general
 
pale ikulu ni pango la wanyang'anyi kwa hamjui na matapeli wengi na wahujumu uchumi ukimbilia pale.
 
Nionavyo mimi huyo mmiliki wa hiyo shule alishafanya mazungumzo na Salma na huenda alikuwa na tumaini la kukubaliwa. Sasa along the way hata kabla ya formal acceptance notification yeye akaanza kutembeza bakuli. Ikulu ndo imeishia hapo.....
 
Nadhani huyu jamaa amempendelea sana Mama Kikwete, amempa fursa ya kufanya yale haswa anayotakiwa kufanya. Wakurupukaji tu ndiyo wameshindwa kuliweka sawa.
Kwani wameshindwa nini kuhakikisha kuwa fedha zikikusanywa zinasimamiwa vizuri ili kuinua elimu ya watoto kwenye hiyo shule?
Wakati mwingine unaweza kuletewa fursa nzuri ya kuwa Raia mwema ukajiona uko kwenye nafasi ya kustahili heshima sana ukaikataa au kuichafua ile nafasi. Inawezekana sana kwa jinsi ninavyoona, kuna mtu alimuahidi huyu jamaa kwamba atamsaidia kwenda kufikisha ujumbe wake kwa Mama, lakini jamaa akaharakisha kabla hata habari hazijamfikia.
Mtu mwenye busara kukataa kusaidia shue ya watoto wadogo, labda kuna jambo tusilolifahamu hapo!
 
THEUNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATEOF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
[TABLE="class: cms_table_MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
[/TD]
[TD="width: 118, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 284, bgcolor: transparent"]
PRESIDENT’S OFFICE,

THE STATE HOUSE,

P.O. BOX 9120,

DAR ES SALAAM.

Tanzania.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

TAARIFAKWA VYOMBO VYA HABARI
Kuna tabia mbaya imeanza kujitokeza kwa baadhi ya mabinti warembo kumkataa mtoto mpendwa wa mkuu wa kaya yetu tukufu tunayoishi mheshimiwa "ONE" pindi anapohitaji kutoka nao. Tabia hii ni mbaya,yenye kuudhi na kufedhehesha kwa mtoto wa mwenye kaya na kaya yetu tukufu kwa ujumla.
Napenda kutoa onyo kali kwa mabinti wote wenye tabia hii kuacha mara moja tabia hii na serikali imetoa muda wa siku tatu kwa mabinti wote waliofanya kitendo hiki kuomba radhi

Imetolewa na
:
Kurugenziya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dares Salaam.
19 Mei, 2012



 
Kwamba anatumia jina la mh Salma na nembo ya taifa, hivi mbali na kuwa mke wa Kikwete, huyu Salma ana nini cha zaidi?
 
ni sahihi kutoa taarifa ama kumtafuta mtuhumiwa anayetummia vibaya jina la Ikulu na kumtia mbaroni?

ukosefu wa fikra upande wa ikulu,suala kama hili anatakiwa kulifanyia kazi ni mwenyekiti wa serikali wa mtaa.ndo maana tunashindwa kupanga utawala bora kwa sababu ya kutotambua nini maana ya mwenyekiti wa serikali wa mtaa.haya yote ni matumizi mbaya ya madaraka,na pia mgawanyo mbovu wa utawala bora.
 
Ina maana ikulu imeshidwa kwenda kumkamata mtu mmoja hadi watoe tamko? nina wasi wasi hii shule ni yao wanaipa promo...

Kama hii habari ni ya kweli basi Kurugenzi ya Habari ina matatizo yasiyoelezeka. Kama yule bwana ametumia jina la First Lady bila ya yeye kushirikishwa si angekuwa yuko Segerea siku nyingi?
 
Kwamba anatumia jina la mh Salma na nembo ya taifa, hivi mbali na kuwa mke wa Kikwete, huyu Salma ana nini cha zaidi?

Ni mwalimu wa somo la kiswahili kwa wanafunzi wa darasa la tatu
 
Kwamba anatumia jina la mh Salma na nembo ya taifa, hivi mbali na kuwa mke wa Kikwete, huyu Salma ana nini cha zaidi?

Ni mwalimu wa somo la kiswahili kwa wanafunzi wa darasa la tatu.
 
Kuna mambo ya msingi ya kuyatolea tamko kwa hili wameteleza afterall ni suala la harambee which is of no harm kwake na kwa jamii!
Kesho uyu mama ataenda saloon litatokea la kutokea mtaanza kulitolea ufafanuzi
 
Taarifa hii ina mapungufu yafuatayo:
1. Kimbambala hakupewa taarifa
2. Hakuna sahihi ya aliendika taarifa hiyo
3. Ikulu haikuonyesha katazo la kosa hilo
4. Hakuna nukuu ya sheria inayohusika na makosa hayo
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom