WARAKA: Kile usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio

WARAKA: Kile usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio

Binamu sasa ujaelewa nini tena
nataka kugombea userikali wa mitaa wa nchi ya tanganyika
nikitoka hapo nagombea ubunge wake wewe unaonaje hilo.


hapo cousin yani uminichanganya kupita maelezo
but kuishi na watu kazi pia somo limeeleweka!!
 
Binamu sasa ujaelewa nini tena
nataka kugombea userikali wa mitaa wa nchi ya tanganyika
nikitoka hapo nagombea ubunge wake wewe unaonaje hilo.

hapo sawa binamu
na mimi unipe japo kazi
ya kufwagia ofisini lolz!!
 
Back
Top Bottom