analala na pampasiiii....samahani nina kiherehere.!swali tu Mtoto halali na hela
Mnajisikiaje pale dj anapiga nyimbo hizi
1. Who let the dogs out
2Hamada umelewa wakati hapo uko bwii.
3 kwa hilo hujanikomoa wakat umekumbatie mme wa mtu
Mimi sijui maana siendagi, labda wifi yenu Rich woman...
My dear no please...
umesahau tulikubaliana nini kuhusu hizo mambo za club...
au starehe gharama hapo ukiwa umedandia lift za rafiki zako