Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,597
Hapo kwa mjamzito ngumu sana kwasababu ni ina tegemea na hamu yake siku iyooOy chief cooker naomba diet kwa mjamzito
Hiyo kazi ya modHalafu uje uandae link ya nyuzi zako zote nataka nijifunze kumpikia huyu mke wangu kwa sasa ni mjamzito
Mna zikosea bhna kile ni kiungo tu 😂Ah em weka mbali na watoto wali njegere bwana..
Tell himHiyo kazi ya mod
Me niacheni wallah..Mna zikosea bhna kile ni kiungo tu 😂
Ngoja niwaombeTell him
Utaki kusikia kabisa 😂😂Me niacheni wallah..
Wakiunganisha nitagNgoja niwaombe
Ila usiache kusema utaalamu huu uliko upatia?Hello
Njegere sio mboga ni kiungo tu cha chakula kama vile nyanya na matumiz yake ni
Una weza pikia kwenye
Ubwabwa
Samaki
Nyama
Ndizi
Ivyo wengi mna geuza matumizi badaal yake mna ifanya mboga mna unga na nazi mna kosea ile ni kiungo cha nakshi nakshi kwenye chakula kuleta mvuto katika chakula
Ni hayo tu kwa leo
PoqWakiunganisha nitag
Ilo ss na waachia maafisa lisheNjegere zina umuhimu.. gani?
Ngumu iyooIla usiache kusema utaalamu huu uliko upatia?
Njegere iyo ikiwa imekaa siku nyingi lazima isiiveNjegere nyingi haziivi sjui wapishi wana shida gani, kwani ukizichemsha kidg ukaja ongezea kwenye mboga inapoteza ladha hasa dsm vyakula vingi vibichi na vya hovyo.