Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,373
- 68,469
Hapo ndiyo umefikiria kwa kiwango cha juu?Chadema wanachukia sana uislam si shangai Mbowe na Lissu kuwashauri wasihudhurie futari...lengo lao ni kuendeleza chuki dhidi ya Uislam
HopelessMheshimiwa Ndugai hana shida tatizo ni wabunge WA upinzani kutofata utaratibu na nafikiri kwa mpinzani mwenye akili timamu kuna haja ya kumshukuru mheshimiwa spika maana anatekeleza majukumu yake ipasavyo na kingine wapinzani walikuwa wameziea kupiga kelele kwamba mambo hayaendi vizuri sasa mheshimiwa Rais amenyosha mambo yote yako vizuri hivyo wapinzani wanashindwa waseme mini sasa wameona kutafuta kiki ni kuvunja taratibu bungeni ili watolewe nje kusudi waaminishe wananchi kwamba hawatendewi haki kitu ambacho ni kigumu kwa. sasa maana hata wao wenyewe wanaona kazi ya Rais kwa vitendo lakini pia hii inadhihirisha wapinzani hawana nia nzuri na taifa Mimi nafikiri kufanya kosa si kosa kosa ni kurudia kosa wananchi wasiwarudishe hawa watu piga kijani kuanzia kwenye mitaa vijiji kata jimbo mpaka kwa Rais maendeleo yaje kwa haraka maana hata watu wanatuchelewesha na pia nashindwa kuelewa kwamba uwakilishi WA mbunge unakuwa wapi maana kama anaweza kutumwa kuwakilisha wananchi maelfu alafu anatoka nje kipindi cha kujadili hoja za msingi inauma sana wananchi chagueni CCM chaguzi zijazo maana ndo chama pekee chenye dhamira ya dhati na taifa letu CCM Hoyeeeeeee Magufuli Hoyeeeee Kinana JUU Chapeni kazi HAPA KAZI TU Ndugai Chapa Kazi kelele zao tumeisha zizoea
Daah wajina husahau habari ya lema?apeleke uchawi wake huko.
Huyu Ndugai ni bingwa wa bias leo anajifanya mwema sana mnafiki mkubwa huyu.
"Ni marufuku wabunge wa CCM kwenda kumsabahi Lema huko Magereza" By Mwenyekiti wa CCM
hivi wale wa kibiti hawafika tu domSpika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ameonyesha kuumizwa na kitendo cha baadhi ya wabunge wa upinzani kutojumuika pamoja na wabunge wenzao katika masuala ya kijamii ikiwepo kususia futari iliyokuwa imeandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
![]()
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
Kufuatia jambo hilo Ndugai amewaomba viongozi na wabunge kwa pamoja kuachana na mambo ya kujitenda kwani yanaweza kuleta athari kubwa ambazo hakuna anayehitaji, na kudai kama kuna mambo ambayo yanakwaza basi viongozi hao wanapaswa kukaa pamoja na kumaliza mambo hayo.
"Tumekuwa tukiandaa baadhi ya hizi shughuli siku ile ya bajeti tulipata nafasi ya kupata futari iliyokuwa imeandaliwa na Waziri Mkuu na wageni wote waliokuwepo, mabalozi tulihudhuria pale na ilikuwa imeandaliwa kwa wema kwa kweli. Leo (jana) pia na mimi nimepata nafasi ya kuandaa kama nilivyowataarifu lakini nikajifunza kitu kimoja ambacho sikupenda kukisema lakini ngoja nikiseme hapa kidogo, kuna baadhi yetu wengine wamekatazana rasmi kutohudhuria shughuli kama hizi, sasa mimi sitaki kuingilia uhuru wao, wana haki kufanya hivyo kama wanaona ni sawa lakini mimi mwenzao ningependa kuwashauri tu hasa viongozi wanaofanya mambo hayo kutazama tena njia zao, yako mambo mengine ni ya kijamii tu, ukifika mahali kiongozi unaanza kuwazuia watu hata mambo ya kijamii ujue unaenda mbali kidogo" alisema Ndugai
Spika wa Bunge aliendelea kutoa malalamiko yake dhidi ya vitendo vya baadhi ya wabunge wa upinzani kususia shughuli hizo za kijamii ambazo zinawaweka pamoja na kusema
"Hili bunge linavyoendeshwa labda wabunge wa kambi mbalimbali mnaweza msielewe bunge hili linaendeshwa katika mawasiliano mbalimbali ya sisi kwa sisi endapo kuna jambo linakwaza mpaka linasababisha hata watu wasipate futari kwa pamoja basi ni vizuri viongozi wa pande zote tukakaa tuzungumze na kuondoa vikwazo hivyo kama vipo maana mimi sijui kama vipo lakini kama havipo ni vizuri tuwe tunajumuika kwa pamoja, maana sera hizo zikienea na hakika kabisa na pande zingine nazo zitaanza na hakika matokeo yake italeta mipasuko ambayo hakuna anayehitaji hapa" alisisitiza Job Ndugai
Ndugai alisema kuwa yeye anatambua kuwa wanamjibu na kufanya wanayoyafanya lakini Mungu anajua kuwa wanachokifanya si busara kwa kufanya hivyo na kusema kuwa katika mwezi huu mtukufu wanapaswa kusameheana, kuombeana, kutoa mikono upande wa pili na kufanya ibada kwani si mwezi wa chuki na kubaguana.
Source: EATV
Machozi ya mamba!apeleke uchawi wake huko.
Huyu Ndugai ni bingwa wa bias leo anajifanya mwema sana mnafiki mkubwa huyu.
"Ni marufuku wabunge wa CCM kwenda kumsabahi Lema huko Magereza" By Mwenyekiti wa CCM
Well saidAlikua ameweka sumu nini mbona ghafla wapinzani wamemuumiza kutokula futari angesema anaumia wapinzani kuwatoa Bungeni coz wanawakikisha Wananchi leo anaumia wapinzani kutokula futari kunanamna hapo sio bure
Kufanya kazi akipokea Amri toka kwa Bashite mshauri mkuu wa Rais ndicho kimemponzaSpika wa kupokea maelekezo kutoka Ikulu..
Ovyo kabisa huyu Ndugai.
Uko sawa kabisa , Zungu ni muungwana .Ndugai haoni mh,waziri mkuu mstaafu anavyozalilishwa vinyoka vya mtaani vilivyopata vyeo juzi juzi tu,yeye anaona futari
magufuli kaambulizwa Ubaguzi na Daud Bashiteubaguzi ndio sera ya chama cha mapinduzi awamu hii walionywa kwenda kumjulia hali Lema alipokuwa gerezani kisongo raisi wao aliwaomya kujumuika na wapinzani kwa lolote lile
zungu yupo fair akiandaa futari hata akaiweka Songea ama mtwara au kigoma hata ngara wabunge wote watajaa huko kupata futari kwa kuwa ni mtenda haki.Uko sawa kabisa , Zungu ni muungwana .
Ulitaka wafike Dodoma kwenda kufanya nini mkuu?hivi wale wa kibiti hawafika tu dom