Wapinzani wa Serikali acheni kumpa kiburi Prof. Assad

Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile
Shudu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakwepa swali langu. 1.5 trillions ni pesa nyingi sana. Kama hakukuwa na wizi kwanini wahofie tume huru ichunguze kwa kina kisha ripoti yake iwekwe hadharani ili kumsafisha dikteta? Na kwanini anajichotea pesa trillions hazina kiholela bila idhini ya Bunge?

BAK hapo ndipo unapokosa maadili na weledi, hasa msomi kama wewe. Hakuna hela iliyoibiwa na wala hakuna upotevu. ZZK ni mnafiki na muongo
 
Duuh! hapa tayari mtu kaingiza buku saba.
 
Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile
Ndo maana hata hao wanaokuunga mkono wamekuona zwzwa.

Soma terms of references za CAG ndo uje hapa. orodhesha mambo yote yaliyopita tangu Ndungai awe spika na huyo Tulia mpaka sasa.

CCM imepaisha upinzani kwa kudhani kwamba Rais anapoenda mikoani kutumbua na wasaidizi wake akina Hapi, Bashite na wengine kufuata mdondo kuwa watu wote ni mbubumbu kama 1959. Kumbuka wanaoona yanayotokea ni vijana waliosoma, wanajitambua na wanaona tunakoelekea. Wanaogopa kwamba sisi wazazi wao tulichokipata hata wakati wa Mw. Nyerere ambaye alikataa vyama lakini alitupa kila kitu sasa hakipo. Tulisoma bure, tulikula bure, tulisafiri bure na hao ni sisi watoto wa maskini ambao wamegeuka ndiyoooo sasa bungeni.
 
Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile
😄😄😄😄😄
 
Sasa sijui ulitaka CAG afanyeje?

Kama katiba ya nchi imempa nguvu CAG kuikagua serikali na kisha kutoa mapendekezo yake na yakapelekwa Bungeni halafu Bunge hilohilo nalo limepewa nguvu na katiba kuisimamia serikali kutekeleza mapendekezo ya CAG na badala yake likaamua kuisifia serikali.

Je aseme Bunge ni imara ama dhaifu?
 
Mkuu weka heshima kwa ugoro. Mtoto akiingiza harage puani, namna rahisi ya kulitoa ni kumnusisha ugoro, akipiga tu chafya hilo harage litaungana na menzake kwenye chungu.

Na usithubutu kusema ni pumba, nafuga kuku mimi. Jaribu kamasi au kohozi, maana hazitumiki hata kwa mbolea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
IMG_20190403_231124_263.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tate Mkuu, je ni kitu gani hicho ambacho utasema bunge limeshindwa kufanya??? Kama Prof Assad mtasema ana maadili mbona siku ile alipoulizwa na rais ikulu kama kuna ufisadi alisema hakuna. Prof Assad ana mawazo ya siasa za kipinzani
Nitolee tu mfano wa ile kauli ya mheshimiwa ya kumuagiza spika awashughulikie wapinzani ndani ya bunge na wakitoka nje atawashughulikia yeye; huoni yalikuwa ni maagizo yale? Na ile ripoti ya madini kama sikosei kupelekwa ikulu kwanza badala ya kujadiliwa bungeni haikukiuka mamlaka ya bunge?
Na kuhusu Profesa kuulizwa ikulu kama kuna hiyo tril. 1.5 iliyopotea, unategemea kwa akili zake timamu angekubali wakati mtindo wa lile swali ulimtaka akatae!! Na kwa nini mzigo wa swali kama lile aulizwe CAG na wakati wa enzi za mabunge yaliyopita maswali kama yale yalikuwa yanaibuliwa bungeni na siyo mitandaoni? Ukweli ni mchungu, ila tukubaliane tu Bunge la awamu hii ya Tano ni DHAIFU!
 
Kwani kwa kutumia akili yako huuoni ushahidi chungu nzima wa kuthibitisha kauli ya CAG kwamba Bunge ni DHAIFU? Hivi kazi ya Bunge ni kuwaadhibu wabunge wa upinzani kila kukicha huku Bunge likikaa kimya kuhusu uvunjaji wa katiba wa kulidharau Bunge kwa pesa ambazo hazijaidhinishwa na Bunge kuchotwa kiholela!? Kuna faida gani ya kuwa na Bunge kama LINADHARAULIWA!?
😳

Mh, muulize Mh. Lema kama Bunge ni dhaifu
 
Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile

Duh! Pumba nyingine leo....
 
Matope

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom