Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Mkuu weka heshima kwa ugoro. Mtoto akiingiza harage puani, namna rahisi ya kulitoa ni kumnusisha ugoro, akipiga tu chafya hilo harage litaungana na menzake kwenye chungu.umeandika ugoro.
Na usithubutu kusema ni pumba, nafuga kuku mimi. Jaribu kamasi au kohozi, maana hazitumiki hata kwa mbolea