Wapinzani wa Serikali acheni kumpa kiburi Prof. Assad

Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile

Mkuu sijui umekula maharage ya aina gani makini?
 
Mh, muulize Mh. Lema kama Bunge ni dhaifu
Hayo ndio mambo ya kuonesha msuli wa bunge? Hivi mmerogwa au mnalipwa?

Ukiona bunge linaunda tume, halafu badala ya ripoti ipelekwe kwa wabunge (wawakilishi wa sisi sote) ijadiliwe na kuelekeza nini kifanyike inapelekwa kwa mtu mmoja basi huna haja ya kubishana na Profesa, kabidhi kichwa chako kwa madaktari wakipe tiba.
 
Hata kama ni mpiga zumari, si kuna wakati unaona huu si muda mwafaka....hataka kazi yako ni kusifia, si kuna wakati unaona aibu hata kusifia unakaa kimya......unakuja kutaka kuaminisha watu kwamba Bunge haliwezi kumuonea mtu..? Kwa utakatifu gani lililo nao....Mtu kafanya kazi kwa moyo mmoja, tena katika hali ngumu za bajeti ndogo...anatoa report mamlaka za kuchukua hatua zina chukua hatua zisizoridhisha, asiseme? Hivi upinzani wa Serikali ni kuiambia hapa umekosea, Tumekulia kwenye familia baba zetu na mama zetu wanatuambia tumekosea hapa na pale walikua wapinzani wetu.........so pathetic kwa mtu mzima mwenya akili zake kuandika jambo la ajabu.
Si hitaji hansard, taarifa ya kamati, wala CAG kusema chochote ili kujua alichokisema ni sahihi....na wala hakuhitaji ku apologise for being right....alichokifanya ni uzalendo wa hali ya juu na ndio kazi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile
Kinachowasababisha kujibu hoja kiwendawazimu ni njaa tu.
Mlishabikia suala LA korosho kwa nguvu kubwa sana
Mwenzenu kawageuka,mmebaki vichwa chini miguu juu.
Na hili nalo mtambuka sana.
Mungu ni KWELI, alisema ndiyo hageuki kusema hapana.
MUNGU HUSIMAMA NA MSEMA KWELI. MUDA UTAONGEA KAMA ULIVYOONGEA KWENYE KOROSHO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama alitishiwa ndio akaenda. That a lie.
Alienda kama wito wa bunge ulivyosema.. na alikuwa na nafasi ya kukataa kwenda.
Mbona makonda aliitwa na hakukanyaga ? Ndio kusema ana kiburi?
Alitishiwa kupelekwa kwa pingu ndiyo maana akaona hana jinsi zaidi ya kwenda kujisalimisha. Kwa ufupi Prof Assad kaharibu sana hasa kwa msomi kama yeye kushindwa kumanage mgogoro mdogo kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachoongea hakieleweki. CAG ni mcha Mungu hawezi kuomba radhi kwa kosa ambalo halipo. Kusema bunge linashindwa kuchukua hatua kwenye ripoti zinazotewa maana yake huo ni udhaifu wa bunge ambao unapaswa kuangaliwa na kufanyiwa marekebisho bunge linapaswa kujitafakari na kuchukua hatua au kueleza bayana hatua zilizochukuliwa juu ya ripoti za CAG.

Huwezi kuomba radhi kwa kuusema ukweli.

Wema ni akiba.
 
Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile
Ndugu unatumia maneno mazito lakini sina hakika unajua maana ya maneno hayo. Soma maelezo ya Ndugu Paskali, labda yatakumulikia kidogo ni nini hasa kinatokea.
 
Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile
weka debate yenu hapa kati ya Assad na Kamati ili tuione wote otherwise he is correct,
halafu kuna watu hawaijuwi hii issue kama Assad akikubali kuwa kaenda kinyume na maadili anaweza vuliwa CPA na ACCA zake alizokuwa nazo kwa hoja ya kwenda kinyume na maadili ya uhasibu na ukaguzi so haiwezi ingia mkenge huo
 
Tate Mkuu, je ni kitu gani hicho ambacho utasema bunge limeshindwa kufanya??? Kama Prof Assad mtasema ana maadili mbona siku ile alipoulizwa na rais ikulu kama kuna ufisadi alisema hakuna. Prof Assad ana mawazo ya siasa za kipinzani
Tatizo la Asad kakosa busara na kutanguliza kiburi.
CAG kimsingi anakagua matumizi yanayofanywa na serikali na kuyakabidhi kwa wawakilishi wa wananchi, Bunge.

Kwa hiyo ile kazi katumwa na wabunge(wawakilishi halali wa wananchi) na ndiyo mana anaipeleka kwao, hata kama itapitia kwa Rais. Sasa yeye analeta kiburi kwa waliomtuma kazi.Unategemea kuwe na ushirikiano hapo?

Nakubali kunaweza kuwa na sintofahamu kama inayosababishwa na mapungufu ya upande wowote. Lakini pale walio kutuma wanapokuwa hawana Imani na wewe, unategemea nini? Busara, ukomavu na usomi, ni kujiuzuru. Mme hana imani na wewe na hakutaki, kama mke kuwa mpole na achia ngazi. Husipoteze muda kulazimisha kwa maelezo kwamba huna kosa.
 
Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile
We unamsimamo gani,Bunge ni dhaifu/strong?
 
Hivi kwa akili ya kawaida tu Subufer yuko sasa?

Aliteikosea Serikali ni nani kati yake na wabunge wanaoendekeza maslahi yao na ya mafisadi kuzuia watu waadilifu wasisimamie fedha za umma zilizochezewa miaka mingi na wabunge wakipiu .

Bunge limeamua kuhujumu jitihada za Mh. Rais za kupambana na mchwa wanaokula fedha za umma.

Msifikiri tumesahau Sakata la rushwa la Jairo kwa wabunge . Nadhani wanafikiri kuwa Kuna MTU anayewaamini watu waliopitisha miswaada ya hovyo ikaliangamiza taifa mpaka sasa Mh. Rais anapata shida kurudisha nidham na heshma ya nchi.

CAG hakuna mahali aliposema kuwa bunge ni dhaifu.
Kama alisema hivyo niwekee hapa ishahidi.

Bunge gani linaloonea wananchi na kudharau kinga za wengine wakati za kwako wanataka watumie ubabe kuzilinda pamoja na ukweli kuwa jamii haioni mchango na tija ya wabunge kwa taifa zaidi ya kutupotezea mabilioni ya fedha kwa mipasho na kukomoana .

Kuna mawaziri waliitwa mizigo na Katibu wa Chama tawala wakati fulani lakini hawakumtisha Bali walitakiwa waonyeshe kuwa wao sio mizigo sio kwa kupambana na msemaji Bali kwa kuwatumikia wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo, unataka nani, apewe kiburi? Wewe acha kuipa serikali ujinga
Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile

Sent from my ONE TOUCH 4033D using Tapatalk
 
Aisee inaonekana CAG asipotumbuliwa mambo yatakuwa magum sana. Lakini ikumbukwe pia CAG nguvu yake ni kubwa kuliko hata wanaomtakia mkono wa kwa heri.
"Bunge dhaifu."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Asad kakosa busara na kutanguliza kiburi.
CAG kimsingi anakagua matumizi yanayofanywa na serikali na kuyakabidhi kwa wawakilishi wa wananchi, Bunge.

Kwa hiyo ile kazi katumwa na wabunge(wawakilishi halali wa wananchi) na ndiyo mana anaipeleka kwao, hata kama itapitia kwa Rais. Sasa yeye analeta kiburi kwa waliomtuma kazi.Unategemea kuwe na ushirikiano hapo?

Nakubali kunaweza kuwa na sintofahamu kama inayosababishwa na mapungufu ya upande wowote. Lakini pale walio kutuma wanapokuwa hawana Imani na wewe, unategemea nini? Busara, ukomavu na usomi, ni kujiuzuru. Mme hana imani na wewe na hakutaki, kama mke kuwa mpole na achia ngazi. Husipoteze muda kulazimisha kwa maelezo kwamba huna kosa.
Umenena kitu cha maana sana. Wapinzani wanachoshindwa kuelewa kuwa mwenzio akikuambia umenikosea tafadhari ni muhimu kuvaa viatu vyake ili yaishe, kwa sababu hapakuwa na haja ya yeye CAG kuendelea kuuita muhimili wa wa dola ni dhaifu wakati hata hiyo katiba ilitungwa na kupitishwa na Bunge. Nadhani usomi unaweza kuwa tatizo, na hapo ndipo wanasiasa wataendelea kudharau wasomi kusema wanaviburi. Na sijui nani mshauri wa masuala ya siasa wa prof Assad anampotosha sana
 
Aisee inaonekana CAG asipotumbuliwa mambo yatakuwa magum sana. Lakini ikumbukwe pia CAG nguvu yake ni kubwa kuliko hata wanaomtakia mkono wa kwa heri.
"Bunge dhaifu."

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana CAG hana nguvu yeyote, nyie mnapatia kichwa bure. CAG anateuliwa na rais wa JMT. Pamoja na kuwa kikatiba anavifungu vinavyomlinda ila kumbuka kwenye kada ya ukaguzi unayemkagua anatakiwa asiwe na hisia kuwa unaweza kuwa na upendeleo, akihisi unaweza kuwa na upendeleo basi ana haki ya kukukataa
 
Back
Top Bottom