The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,185
- 14,760
Na Mimi unanilisha maneno ,nimeelewa kuwa umechukua nguo zangu nikiwa mtoni uchi ,sikufukuziiNashukuru kwa kuelewa kuwa uache kuwa mnafiki wa kumlisha maneno Prof Assad

Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;
1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi
Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???
Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge
Repoti za kamati za bunge
Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.
Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile
Jaribu kutumia akili japo kidogo,usilazimishe watu wenye akili timamu na ambao hawako brainwashed na mitizamo ya kivyama kuwa bunge liko kwa interest za nchi na si za ku'protect utawala uliopo na pamoja na chama chake.Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;
1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi
Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???
Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge
Repoti za kamati za bunge
Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.
Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile
sasa inahusianaje na wapinzani,,Alitishiwa kupelekwa kwa pingu ndiyo maana akaona hana jinsi zaidi ya kwenda kujisalimisha. Kwa ufupi Prof Assad kaharibu sana hasa kwa msomi kama yeye kushindwa kumanage mgogoro mdogo kama huu
Qwy unachoshindwa kuelewa ni kuwa Bunge ni muhimili unaojitegemea, na huwezi kutumia kauli kama hiyo wewe kama unategemewa kufanya kazi na Bunge au serikaliJaribu kutumia akili japo kidogo,usilazimishe watu wenye akili timamu na ambao hawako brainwashed na mitizamo ya kivyama kuwa bunge liko kwa interest za nchi na si za ku'protect utawala uliopo na pamoja na chama chake.
Uzalendo ni kuangali masihali mapana ya nchi tukiweka mbali tofauti za mitazamo zilizopo.Kuukosoa utawala pale unapokosea ni uzalendo pia. Kuupinga utawala pale unapotupeleka mrama ni uzalendo pia. Uzalendo uwe kwa nchi na si kwa chama tawala na serikali yake.
Wehu nchi hii wapo wengi. Kwani mgogoro huu ni kati ya Bunge na CAG au ni kati ya CAG na Serikali?Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;
1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi
Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???
Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge
Repoti za kamati za bunge
Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.
Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile
Kwa nini isiwe Speaker ndiye aliyeshindwa kumanage?Alitishiwa kupelekwa kwa pingu ndiyo maana akaona hana jinsi zaidi ya kwenda kujisalimisha. Kwa ufupi Prof Assad kaharibu sana hasa kwa msomi kama yeye kushindwa kumanage mgogoro mdogo kama huu
Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;
1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi
Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???
Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge
Repoti za kamati za bunge
Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.
Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile
Usiwe muongo na mnafiki. Ripoti za mahojiano zote huwa zinawekwa wazi, tembelea ile website. Mfano Mh. Makonda alipohojiwa alijitetea kwa busara sana na alisamehewa. Nenda kwenye hiyo website utakuta ripoti zipo. Hivyo hata hiyo ripoti ya Prof Assad ipo nafahamu ipo siku itawekwa kwenye mtandao. Hivyo acha kupotosha!Huongelie maslahi yoyote ya taifa hapo nadhani unaongelea maslahi yako wewe binafsi. Kwenye kikaocha kamati lazima kulikuwa na maswali na majibu na ndio mantiki ya kauli ya CAG kuwa hansard iwekwe wazi.Nina uhakika haitawekwa wazi na itapotea kama ripoti ya kamati iliyochunguza tukiola Lissu. Kama kweli tunataka kumasadia mh. Rais vitaua ufisadi tuweke haya mambo siokuongea kwa ushabiki tu.
Hebu funga domo lakoUsiwe muongo na mnafiki. Ripoti za mahojiano zote huwa zinawekwa wazi, tembelea ile website. Mfano Mh. Makonda alipohojiwa alijitetea kwa busara sana na alisamehewa. Nenda kwenye hiyo website utakuta ripoti zipo. Hivyo hata hiyo ripoti ya Prof Assad ipo nafahamu ipo siku itawekwa kwenye mtandao. Hivyo acha kupotosha!
Usipende kuwa mwongo. Rais alimwuliza CAG, 'CAG kuna hela imeibiwa?' Na CAG alijibu, 'Hapana'. Na hilo lilikuwa jibu sahihi.Tate Mkuu, je ni kitu gani hicho ambacho utasema bunge limeshindwa kufanya??? Kama Prof Assad mtasema ana maadili mbona siku ile alipoulizwa na rais ikulu kama kuna ufisadi alisema hakuna. Prof Assad ana mawazo ya siasa za kipinzani
Nimekuelewa lakini sijaona sehemu uliyoelezea vizuri na kwa undani namna upinzani wanavyompa kiburi.Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;
1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi
Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???
Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge
Repoti za kamati za bunge
Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.
Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile
Usiwe muongo na mnafiki. Ripoti za mahojiano zote huwa zinawekwa wazi, tembelea ile website. Mfano Mh. Makonda alipohojiwa alijitetea kwa busara sana na alisamehewa. Nenda kwenye hiyo website utakuta ripoti zipo. Hivyo hata hiyo ripoti ya Prof Assad ipo nafahamu ipo siku itawekwa kwenye mtandao. Hivyo acha kupotosha!
Sasa kwa nini hila zinatumika ili repoti ya CAG isijadiliwe bungeni ? Je huo si udhaifu wa bunge?Babu Ataka Kusema a.k.a BAK, nadhani na wewe pia huelewi kinachoendelea. Kwanza kabisa hakuna hela iliyoibiwa na hakuna upotevu. Ila kwa sababu wewe Babu ni mpinzani basi hata nifanyeje huwezi kuelewa ila utaelewa tu mawazo ya kipinzani
Hiyo ndiyo tabia njema ya watanzania, watanzania hatuna tabia ya visasi au dharau au kiburi, yeye Prof Assad alitakiwa aelewe kuwa wenzake wanamuambia Prof Umetudharau, hiyo kauli hatujaipenda, sasa yeye anajiona prof anaona yeye ni bora zaidi, anyway Mungu amsaidie siku moja ajitambueUnaomba radhi ukikosea na huo ni uungwana.
Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;
1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi
Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???
Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge
Repoti za kamati za bunge
Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.
Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile
Hapana hapo uliposema usomi ndiyo unakosea, na hicho ndicho wasomi wengi wanashindwa maisha. Huwezi kushikiria msimamo wa kudharau wenzako. Akili za hivyo wanazo wale waliokulia kwenye vita tu, watanzania we are so humble. Na kingine mkaguzi haruhusiwi kuwa na biasNyamaza wewe kinachojadiliwa hapa kimekuzidi kimo! sio kila mtu akikwambia "Umenikosea unakurupuka kuomba msamaha"; mtu principled, msomi anayejiamini hupima alichokifanya na kuangalia kama ndicho anachokiamini basi hana sababu ya kuomba msamaha hata kidogo!!! Kumbuka Prof Assad ni mwanataaluma bingwa wa kiwango cha kimataifa, anajua anachokifanya na wala sio mchumia tumbo kama hao waliokwenda kumuweka kiti moto!