Wapinzani wa Serikali acheni kumpa kiburi Prof. Assad

Wakuu,

Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.

Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile
Wewe ni kiazi au umetumwa
 
Mmezoea kuwatumikisha CDF, IGP, CJ nk, na wao wamekubali kuwasujudia katika kuvunja katiba. Saa hii mmeona CAG kaamua kusimamia weledi mnajifanya muombwe msamaha. Unasema bunge haliwezi kumuonea mtu, unadhani hatujui utendaji kazi wa hao makondoo wa ccm? Weka Hansard ya mahojiano tupime wenyewe.
 
Wakuu,

Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.

Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile

Wewe wadanganye hao mabashite wenzako ila ukweli utabaki palepale.
Watanzania siyo wajinga kivile. Kinachotokea ni mpango mkakati wa kumng'oa CAG kwa kusema ukweli kuhsu Bunge linaloongozwa na Spika kichaa Job Ndugai.

Ripoti za uhakika na ukweli za Prof. Assad ndizo zina gharimu cheo chake. Kuna upotevu wa Tshs. 1.5T na matumizi ya HOVYO ya Spika Ndugai akiwa India kwenye matibabu karibia ya Tshs 1B kasoro kidogo. Sasa sijui hawa jamaa watafanya nini kunusuru hali hii maana Bajeti haitasomwa kama CAG hajwasilisha Ukaguzi wake kuonesha Fedha ya bajeti ya2018/9 imetumikaje...!!
Huu ni utawala wa ki-FUTUHI...!!!
 
Wakuu,

Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.

Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile
Sijawi kuona jitu pumbavu kama wew usiyejua tofaut ya bunge na serkal
 
Nafikiri kitu cha kwanza tuletee CV yako hapa tuilinganishe na ya CAG na mind you,uzalendo si kuwa muoga wa kuomba msamaha hata pale hauna kosa.
Prof aliongea anachokielewa na kukiamini. Wewe endelea na mawazo mtindi ili aombe msamaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna anayetilia shaka uzalendo wa prof, ila kiburi na majigambo ndiyo tatizo, hivi watu wazima wanakuambia kuwa umetukosea adabu tubu wewe unakomaa, na ndiyo maana ataondolewa ofisini na historia yake itafutika kama mtu mwenye dharau na kiburi kiburi
 
Unaweza kuthibitisha majigambo ya prof kuliko ya lingugai....mijitu mingine sijui ikoje...hivi wew hujaona ujeur wa mtu aliyevimba km kiboko?Km msimamo wa kutokukubaliana na ujinga wa jiboki ni ujeur bas ashukuriwe Mungu aliyemjalia prof kuwa hvyo so far we ni kivuvuzera tu
 
Andiko hili hata hiyo buk 7 hupati kabisaaaaa. Mi chini ys kiwango. Unawapa wapinzani point za bureeeee

Back
Top Bottom