Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,602
- 5,569
Kina "Mtatironamgwilawaitara and co." hawatakosekana!!
Halafu sijajua hawa situation zao zikoje hiki kimbunga hakijawakuta kweli manake saizi ni kama north KoreaMrema au Cheyo mmoja wao atakua KUB
Hawa walimpa Mfalme mbuzi na mkungu wa ndizi lazima awakumbuke.alafu sijajua hawa situation zao zikoje hiki kimbunga hakijawakuta kweli manake saizi ni kama north Korea
Mwaka Jana waligomea uchaguzi wa serikali za Mitaa,Sasa huu uchaguzi mkuu nini kiliwafanya washiriki2025 mshiriki tena uchaguzi
Hawawezi kataa watakula wapi na Ruzuku kwishiney ?Baada ya hii hujuma ya uchaguzi na ili kuhadaa Ulimwengu na hasa nchi wafadhili, mnaweza kupewa uteuzi lengo likiwa ni kuonyesha kuwa demokrasia ya vyama vingi inaheshimiwa na inapewa nafasi katika utawala huu.
Nachowashauri, ikitokea mmoja wenu au baadhi yenu wamepewa uteuzi wa kuingia Mjengoni au kwingineko, kataeni hizo nafasi kwani itakuwa ni kubariki huu uharamia uliofanywa dhidi yenu na zaidi itakuwa ni kutekeleza kila kinachoitwa divide and rule.
Msikubali hata kidogo.
HahahaaaJamani kaeni karibu na Salary slip asije akajiua
Hivi unadhani uchaguzi wa kweli utasubiri 2025? Thubutu! Huo upo very soon. Hakika hilo utakuja kukumbuka nilitamka.2025 mshiriki tena uchaguzi
Wewe nani kwenye upinzani?Baada ya hii hujuma ya uchaguzi na ili kuhadaa Ulimwengu na hasa nchi wafadhili, mnaweza kupewa uteuzi lengo likiwa ni kuonyesha kuwa demokrasia ya vyama vingi inaheshimiwa na inapewa nafasi katika utawala huu.
Nachowashauri, ikitokea mmoja wenu au baadhi yenu wamepewa uteuzi wa kuingia Mjengoni au kwingineko, kataeni hizo nafasi kwani itakuwa ni kubariki huu uharamia uliofanywa dhidi yenu na zaidi itakuwa ni kutekeleza kila kinachoitwa divide and rule.
Msikubali hata kidogo.
Nchi haijengwi kwa mbinu za kipumbavu namna hii. Na yeyote anaye ona upumbavu huu ni sawasawa tuu basi yeye ni mpumbavu zaidi.Hila zako za kutugawa watanzania hazitafanikiwa kamwe! Uchaguzi umepita ni muda wa kufikiria kuijenga Tanzania imara sasa.