Wapinzani, mkipewa uteuzi kataeni

James Martin

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
970
1,000
Baada ya hii hujuma ya uchaguzi na ili kuhadaa Ulimwengu na hasa nchi wafadhili, mnaweza kupewa uteuzi lengo likiwa ni kuonyesha kuwa demokrasia ya vyama vingi inaheshimiwa na inapewa nafasi katika utawala huu.

Nachowashauri, ikitokea mmoja wenu au baadhi yenu wamepewa uteuzi wa kuingia Mjengoni au kwingineko, kataeni hizo nafasi kwani itakuwa ni kubariki huu uharamia uliofanywa dhidi yenu na zaidi itakuwa ni kutekeleza kila kinachoitwa divide and rule

Baada ya hii hujuma ya uchaguzi na ili kuhadaa Ulimwengu na hasa nchi wafadhili, mnaweza kupewa uteuzi lengo likiwa ni kuonyesha kuwa demokrasia ya vyama vingi inaheshimiwa na inapewa nafasi katika utawala huu.

Nachowashauri, ikitokea mmoja wenu au baadhi yenu wamepewa uteuzi wa kuingia Mjengoni au kwingineko, kataeni hizo nafasi kwani itakuwa ni kubariki huu uharamia uliofanywa dhidi yenu na zaidi itakuwa ni kutekeleza kila kinachoitwa divide and rule.

Msikubali hata kidogo.
Magufuli atajaribu kuwa

Magufuli atajaribu kuwarubuni wapinzani kwa kuwapa kazi ili wajiunge kwenye serikali yake. Kiukweli hii itakuwa ni propaganda kuwaonyesha watu kwamba mpaka wapinzani wanamuunga mkono. Mungu amsaidie Tundu Lissu na Watanzania waishio nje waweze kuwashawishi wazungu waiwekee serikali yake vikwazo.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,443
2,000
Mkuu mpinzani aweza kuwa Shibuda. U ategemea Shibuda anaweza kuukataa unmbunge akipewa??
Shibuda huwa Akili yake ni ndogo Mno tena mno hata akipewa uteuzi wa kuwa mkuu wa vyoo vya umma kwenye stand ya ubungo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom