Wapinzani, mkipewa uteuzi kataeni

Nyie ndo mnajidai wapenda demokrasia...pathetic, kwani hujui moja ya pillars za democracy ni majority rule? kama wengi tumeamua kuchagua ilani iliyo bora ya CCM kuna tatizo?

Nani kakudanganya demokrasia ni kuwepo kwa wabunge wa vyama tofauti bungeni? by the way CUF tiari wako na mbunge na ni wapinzani, endeleeni kuabudu hao mabwana zenu ikibidi kagombeeni kabisa huko kwao wawape ubunge na urais.

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Simuoni wakukataa teuzi.

In other way around, swala ta uteuzi ni swala la ugali wa mtu kama mtu jinsi alivyo na familia yake.

Ngoja tusubiri kuona.
 
Baada ya hii hujuma ya uchaguzi na ili kuhadaa Ulimwengu na hasa nchi wafadhili, mnaweza kupewa uteuzi lengo likiwa ni kuonyesha kuwa demokrasia ya vyama vingi inaheshimiwa na inapewa nafasi katika utawala huu.

Nachowashauri, ikitokea mmoja wenu au baadhi yenu wamepewa uteuzi wa kuingia Mjengoni au kwingineko, kataeni hizo nafasi kwani itakuwa ni kubariki huu uharamia uliofanywa dhidi yenu na zaidi itakuwa ni kutekeleza kila kinachoitwa divide and rule.

Msikubali hata kidogo.
Hawawezi kataa watakula wapi na Ruzuku kwishiney ?
 
Daah mnasikitisha sana huku jamvini,kama mmelowa mvua vile halaf umesimama kwemye daladala,,mitamdao ya kijamii ndio sehem pekee ya kumwaga povu lenu lote,
 
2025 mshiriki tena uchaguzi
Hivi unadhani uchaguzi wa kweli utasubiri 2025? Thubutu! Huo upo very soon. Hakika hilo utakuja kukumbuka nilitamka.
Ila ukiniambia kwa sababu IPI nasema hivyo? Ukweli hata mie mwenyewe sijui Ila naamini siku si nyingi
 
Baada ya hii hujuma ya uchaguzi na ili kuhadaa Ulimwengu na hasa nchi wafadhili, mnaweza kupewa uteuzi lengo likiwa ni kuonyesha kuwa demokrasia ya vyama vingi inaheshimiwa na inapewa nafasi katika utawala huu.

Nachowashauri, ikitokea mmoja wenu au baadhi yenu wamepewa uteuzi wa kuingia Mjengoni au kwingineko, kataeni hizo nafasi kwani itakuwa ni kubariki huu uharamia uliofanywa dhidi yenu na zaidi itakuwa ni kutekeleza kila kinachoitwa divide and rule.

Msikubali hata kidogo.
Wewe nani kwenye upinzani?
 
Sasa hiv baada ya kukumbwa na kimbunga mnafikiria kujifariji kwa teuzi daaah kweli dunia simama mishuke maana inaenda kasi sana,kutoka kufikiria Waziri mkuu afyer 72 hrs mpk kufikiria labda uteuzi daaah mnatia huruma sana,ila tuliwaambia hamkuelewa,tatzo hamkumuelewa Bashiru pale Chato wakat wanafunga kampen kanda ya Ziwa,,alisema tutawawachapa mlk mchanganyikiwe,ss hii ndio kichapo mubashara
 
Hila zako za kutugawa watanzania hazitafanikiwa kamwe! Uchaguzi umepita ni muda wa kufikiria kuijenga Tanzania imara sasa.
Nchi haijengwi kwa mbinu za kipumbavu namna hii. Na yeyote anaye ona upumbavu huu ni sawasawa tuu basi yeye ni mpumbavu zaidi.
Jee mkuu TUJITEGEMEE nawe unakubali kuonekana mpumbavu kwa kuukubali ujinga huu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom