Wapinzani kuweni macho na kauli ya leo ya Rais

Hawez jutajwa kwasababu mawaziri wa wizara ndio watekelezaji wa maagizo ya mdomo alaf wao wanayaweka kwenye maandishi kuyashusha kwa watendaji lakn mi binafsi nimependa waache wawajibishane wenyewe si walikataa mapendekezo ya katiba mpya ambayo yangewapa nguvu profesionals na watumishi kua wanafanyia kaz mambo kama hayo. Watajiju na elimu zao za darasa la saba na waendeleee namuomba rahis ahamie kwenye miktaba ya gesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anadai yupo chadema wakati kadi ya ccm kaiweka chumbani kwake ili muda ukifika iwe rahisi ni kutangaza tu kwa sababu kadi ililipiwa hadi mwaka 2050.
Mwapachu alihamia chadema hakurudisha kadi yake alipoamua kurudi ccm kazi ilikua ndogo sana
Someni katiba za Vyama zinasema nini pindi unapochukua kadi ya chama kingine. Na Mjifunze kusoma kabla ya kuandika. Sijajua kiwango chenu cha elimu. Samahani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mkulu anataka kutuambia Mruma alitumwa na JK kufanya ushushushu? Na akaleta taarifa ili aje ampe Magu aifanyie kazi wakati magu anavyo eleza ni kuwa awamu zilizopita zimefuja mali bila hatua kuchukuliwa.
Tunapigana fix mchana kweupe nasi tunakubali tuu kwa vile kasema baba!
Inashangaza sana. Inamaana tayari walikuwa na uhakika kuwa watashinda uchaguzi 2015!
 
Hiyo ilikuwa tiktak tu ya kumuokoa Prof. Mruma, hakina cha kutumwa upande wa maadui.
 
Rais John Magufuli akipokea ripoti za madini za kamati ya Bunge, alisema Prof Mruma alitumwa upande wa maadui ili kupata taarifa muhimu za maadui na kuzileta serikalini ( Undercover agent ) ili iwe kazi rahisi kuwamaliza.

Sasa na nyie wapinzani wa CCM kuweni makini na wanasiasa mnaowapokea wanaotoka CCM huwezi jua wengine wanatumwa kuja kuwamaliza wapinzani japo sio wote. Lakini leo hii hatuwezi kujua, Mfano Lowassa ni mpinzani au CCM japo haina umuhimu sana kujua ila nadhani ujumbe umefika.
Binafsi simuamini Lowasa, nasema kweli lowasa simuamini ndani ya chadema, hata Sumaye pia simuamini, hivi kwa akili ya kawaida kabisa wale wafia chama watoke tu kirahisi ccm???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais ana watu wake anaowapenda ambao huwezi kuwatoa bila ridhaa yake. Kama kweli angekuwa undercover angepigwa chini au angejiuzuli ili kuendelea kulinda cover yake. Agents wanajitolea hadi maisha yao kwa ajili ya dola, sembuse cheo?
 
Hivi hili swala la Almasi na kuhusishwa kwa Mruma ni la muda gani? Alitumwa na serikali ya awamu ya nne? Au Magufuli ndiye kamtuma?
Ndio nashangaa! Eti double agent! Chaaaa! Alianza lini hiyo kazi?! Maana kama ni uhalifu anaohusishwa nao wa kwenye hayo masuala ya almasi sidhani kama umefanywa kwenye hiki kipindi kifupi cha Magufuli (ndio tuseme Magufuli alimtuma).
Hata hivyo mtu unajiuliza, u-double agent ni kwaajili ya kwenda kubomoa kabisa, au ni kwaajili ya kutoa taarifa mapema ili uharibifu usitokeee?! Sasa mtu kama alikuwa huko mda anafanya huo u-double agent wake ambao umeishia kulitia taifa hasara kubwa na kuendelea kulichakaza kwa umaskini?!!!! Hiyo intelijinsia aliyoikusanya wakati huo kwanini asingeitoa kwa wakati ili kulinusuru taifa na umaskini?!
 
Hey Kay mambo? Ndio maana nikajiuliza hilo swali, na baada ya kupata majibu yake ndio ningekuja kwenye hoja yako sasa ambayo umeiwasilisha hapa

Kuna watu wanaona watu wengine hawana akili ama uwezo wa kufikiri basi kwa sababu jambo limesemwa na bwana mkubwa basi ni sahihi 100%

Anyway ngoja nikae kimya, hela yenyewe ya kununua maji sina sasa huo mkojo wa kupimwa si watanikamua damu tu
 
Sio hivyo, ni kwamba Muruma ndo katoa taarifa zote kwakuwa alikuwa jikoni muda mrefu ndo maana ametumika kama askari

Sent using Jamii Forums mobile app
'...amesema, kuna watu wanatumwa kwenda kupigana upande wa maadui...,
ikimaanishwa kuwa, alitumwa hapo awali akafanye kazi na maadui, hiyo itakuwa ni waaaaay before kazi ya kamati ya kuchunguza michanga.... sasa watu wanajiuliza, huo uaskari aliopewa huko nyuma kwanini usingetumika kulinusuru taifa na wizi na madudu yaliyotokea huko kwenye almasi? Au hiyo intelijinsia aliyokua amekusanya aliiweka chini ya mto akisubiri siku Magufuli akimchagua kusimamia kamati?! Kwani intelijinsia huwa inatolewa baada ya mambo yakishaaribika?
 
Hey Kay mambo? Ndio maana nikajiuliza hilo swali, na baada ya kupata majibu yake ndio ningekuja kwenye hoja yako sasa ambayo umeiwasilisha hapa

Kuna watu wanaona watu wengine hawana akili ama uwezo wa kufikiri basi kwa sababu jambo limesemwa na bwana mkubwa basi ni sahihi 100%

Anyway ngoja nikae kimya, hela yenyewe ya kununua maji sina sasa huo mkojo wa kupimwa si watanikamua damu tu
Hahahahahaha...
Salama tu Uncleben tunamshukuru Mungu.

Acha tu waendelee kupiga watu fiksi ila wahenga wa ulaya walisema:
"You can fool all the people some of the time and some of the people all the time, but you cannot fool all the people all the time..."
 
Rais John Magufuli akipokea ripoti za madini za kamati ya Bunge, alisema Prof Mruma alitumwa upande wa maadui ili kupata taarifa muhimu za maadui na kuzileta serikalini ( Undercover agent ) ili iwe kazi rahisi kuwamaliza.

Sasa na nyie wapinzani wa CCM kuweni makini na wanasiasa mnaowapokea wanaotoka CCM huwezi jua wengine wanatumwa kuja kuwamaliza wapinzani japo sio wote. Lakini leo hii hatuwezi kujua, Mfano Lowassa ni mpinzani au CCM japo haina umuhimu sana kujua ila nadhani ujumbe umefika.
Kiusalama jambo hili huwa ni siri sana kwa nchi husika kumtaja spy wake hata akikamatwa hukanwa.
Sijui ni kwa mbinyo na vigezo gani vilivyopelekea Rais kumtaja prof Mruma kwa namna ile, sijui kabisa.

Hivi baada ya hapo nani atahakikisha usalama wa prof Mruma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom