Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
hahahawamekurudisha tena kwenye payroll ya LUMUMBA?
hahahawamekurudisha tena kwenye payroll ya LUMUMBA?
Hao hao wanaolia bora Kikwete harudi akirudi ndio watakuwa wa kwanza kuoponda!Nakubaliana na JK, hatujui pa kusimamia, hatuna misimamo, tunapelekwa tu ovyo, leo unasema hiki kesho umebadilika kabisa...
Hawawezi kwenda wanajua msoga hakina juice ya tende wala sharbatiKama nilivyowahi kuandika uzi huu, Shukran Rais Kikwete Kwa Kuwapa Darsa la Siasa Upinzani..., sasa nnawakumbusha tena upinzani kuwa warudi kwa Kikwete akawape darsa vipi wakabiliane na hali ya kisiasa inavyokwenda kwa sasa nchini. Na vipi wao kama upinzani wakabiliane nayo.
Kikwete ni muelewa na kwa kuwa sasa ni "mzee" mstaafu tena mwenye busara sana, ni wakati muafaka upinzani umuone ili wakwamuke walipokwama.
Kikwete ni kipenzi cha wote na nnauhakika upinzani mna mengi ya kujifunza kwake, msichoke nendeni mkachote.
Unaonesha huzijuwi "privileges" za Marais wastaafu wa Tanzania.Hawawezi kwenda wanajua msoga hakina juice ya tende wala sharbati
Wakuomba msaada kwa Kikwete ni CCM Zanzibar baada ya kutumia jeshi kubatilisha matokeo ya uchaguzi halali na sasa wanataka kuushuka mchongoma na kuona kuwa ni ngoma.Inafaa wakamuombe awape hekima(fitina) nyengine.Kama nilivyowahi kuandika uzi huu, Shukran Rais Kikwete Kwa Kuwapa Darsa la Siasa Upinzani..., sasa nnawakumbusha tena upinzani kuwa warudi kwa Kikwete akawape darsa vipi wakabiliane na hali ya kisiasa inavyokwenda kwa sasa nchini. Na vipi wao kama upinzani wakabiliane nayo.
Kikwete ni muelewa na kwa kuwa sasa ni "mzee" mstaafu tena mwenye busara sana, ni wakati muafaka upinzani umuone ili wakwamuke walipokwama.
Kikwete ni kipenzi cha wote na nnauhakika upinzani mna mengi ya kujifunza kwake, msichoke nendeni mkachote.
Tatizo aliyeahidi kuwa ataenda kuchunga ng'ombe bado yupo mjini kaahirisha kwenda machungani baado analitolea macho kodo jumba litakalokuwa la makumbusho pale jirani na feriKama nilivyowahi kuandika uzi huu, Shukran Rais Kikwete Kwa Kuwapa Darsa la Siasa Upinzani..., sasa nnawakumbusha tena upinzani kuwa warudi kwa Kikwete akawape darsa vipi wakabiliane na hali ya kisiasa inavyokwenda kwa sasa nchini. Na vipi wao kama upinzani wakabiliane nayo.
Kikwete ni muelewa na kwa kuwa sasa ni "mzee" mstaafu tena mwenye busara sana, ni wakati muafaka upinzani umuone ili wakwamuke walipokwama.
Kikwete ni kipenzi cha wote na nnauhakika upinzani mna mengi ya kujifunza kwake, msichoke nendeni mkachote.
Tupe ubuyu maana na mpango Wa kuja kuwa Rais..
Achana nae hajui muulize vitobisha anavijua kavamia tanga juzi basi anajifanya mjuaji subiri wadigo mtengenezeBiriani nnalipika tena zuri sana, ushawahi kula biriani ya mananasi wewe?
Ulipotelea wapi?au maslahi yaliguswa kidogo uka shake,karibu tena uendeleze ligi faiza foxy
Hakika wewe ni GT.Ukiutazama na kuutathmini huu uzi na mleta uzi utagundua kuwa kuna mahali kakabwa na JPM ila pia kusema anasapoti upinzani anaona soo kuitwa kigeu geu!
Tulimnanga na bado alitufanya friendly... Mzee hana shida twende tu hakuna namna...sasa si aibu tulivyomnanga wakati ule
Sasa hivi wamebaki kuwa wadandiaji wa hojaChadema ile ya Dr Slaa ilikua inakosoa kwa hoja, hii ya Lowasa ni viroja na usanii.
basi twendeniTulimnanga na bado alitufanya friendly... Mzee hana shida twende tu hakuna namna...
simlesema itakufa kabla 2015???Mbowe na tamaa zake badala ya kwenda kuomba ushauri anaweza kwenda kumshawishi JK agombee uraisi 2020 kupitia Chadema au UKAWA kama itakuwa bado inapumua angalau kwa shida.