Wapinzani Kamuombeni Msaada Kikwete

Wapinzani Kamuombeni Msaada Kikwete

tusubirie mkuu
Ngoja tusibiri mkuu,lakin kama approch ni ya kusimamisha jambo ili kuweka sasa,sifikili kufika...wapi watu wakagera,sasa hivi na njaa imewakumba na wengine hawana pa kulala msaada imelekezwa kwenye miundombinu ya serikali....kipi ni sahii nchi kuwa tajiri with a lot of planes,and a lot of stuff harafu wananchi makapuku...nigeria haiwezi kuwa somo kwetu?!!
 
Ikiwa ukisoma huelewi basi hata picha huoni?

CDM7.jpg

Nendeni tu mkamuombe hikma zake na kudeka kama mlivyokuwa mkideka alipokuwa Ikulu.
Sasa kwa nini hatupewi Mkopo sisi jamani. Tutaelimikaje?
 
Kama nilivyowahi kuandika uzi huu, Shukran Rais Kikwete Kwa Kuwapa Darsa la Siasa Upinzani..., sasa nnawakumbusha tena upinzani kuwa warudi kwa Kikwete akawape darsa vipi wakabiliane na hali ya kisiasa inavyokwenda kwa sasa nchini. Na vipi wao kama upinzani wakabiliane nayo.

Kikwete ni muelewa na kwa kuwa sasa ni "mzee" mstaafu tena mwenye busara sana, ni wakati muafaka upinzani umuone ili wakwamuke walipokwama.

Kikwete ni kipenzi cha wote na nnauhakika upinzani mna mengi ya kujifunza kwake, msichoke nendeni mkachote.
Wanaanzaje anzaje kwanza,kwa mitusi waliomtukana.Ila sitashangaa kama waliweza kumfanya lowassa mgombea wao ni kazi ndogo kwao kwenda kuomba msaada huku wakiwa na msemo wao"siasa sio uadui"
 
Aende kwanza Magufuli maana hata kipindi kile anaanza uongozi alidhani kuwa kipaumbele chake cha kwanza ni kuvunja nyumba za walala hoi! Kikwete akaona huko sasa ni kuleta uonevu akaenda ikulu akamwambia asitishe! Ni kweli kuwa wapinzani tumekwama ila Magufuli ndo amekwama mara elfu ya wapinzani. Hivyo anayetakiwa kwenda kwanza ni Magufuli na siyo wapinzani.

Pia taitizo la upinzani limesababishwa na sera mbovu za Magufuli!
Hiyo mistari ya mwisho inaonesha ni jinsi gani mnavyotembea kwenye mgongo wa ccm!

Teh... Mkibanwa kidogo tu mnaanza kulia aibu yenu!
 
Kikwete alinena vema, "Asilimia 70 ya Watanzania ni bendera fuata upepo"

Wakati Mzee Mwinyi alipokuwa madarakani tuliponda sana utawala wake na pia mke wake na kumpachika majina mbalimbali ingawa kulikuwa hakuna wingi wa vyombo vya habari kama sasa hivi.

Mkapa nae tukamponda sana tukasema bora Mwinyi.

Kikwete naye hakukuwa na tofauti na tukampachika majina kama "Vasco da gama", "Dhaifu" na mengineyo kede kede. Tukasema bora Mkapa harudi tena, tunataka rais ambaye ni serious, bora hajiuzulu tu.

Tumempata Magufuli ambaye tuliomba rais hawe wakati wa utawala wa Kikwete, sasa tunalia bora Kikwete harudi!!

Watanzania tupo tupo tu!
 
Kama nilivyowahi kuandika uzi huu, Shukran Rais Kikwete Kwa Kuwapa Darsa la Siasa Upinzani..., sasa nnawakumbusha tena upinzani kuwa warudi kwa Kikwete akawape darsa vipi wakabiliane na hali ya kisiasa inavyokwenda kwa sasa nchini. Na vipi wao kama upinzani wakabiliane nayo.

Kikwete ni muelewa na kwa kuwa sasa ni "mzee" mstaafu tena mwenye busara sana, ni wakati muafaka upinzani umuone ili wakwamuke walipokwama.

Kikwete ni kipenzi cha wote na nnauhakika upinzani mna mengi ya kujifunza kwake, msichoke nendeni mkachote.
Tokea futari ipigwe chini pale ikulu unahaha kama kuku anayetaka kutaga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom