Wapinzani Kamuombeni Msaada Kikwete

Wapinzani Kamuombeni Msaada Kikwete

Haina Haja hata ya kwenda kwa Jk

Tayari kuna Siasa za chin kwa chin Za vijembe kwa JPM

Sisi Acha tukae pemben Tuangalie mwisho wake
 
Joyce Peter Melkiadi anadhani kwa kuzuia wapinzani kufanya siasa ndiyo anawaua hajui kuwa kuna watu 8m waliopigia upinzami kura na bado wana hasira kwa wizi uliofanyika za na.tz.
Hivyo kwa lo lote afanyalo bado hao watakuwepo 2020
 
Kama nilivyowahi kuandika uzi huu, Shukran Rais Kikwete Kwa Kuwapa Darsa la Siasa Upinzani..., sasa nnawakumbusha tena upinzani kuwa warudi kwa Kikwete akawape darsa vipi wakabiliane na hali ya kisiasa inavyokwenda kwa sasa nchini. Na vipi wao kama upinzani wakabiliane nayo.

Kikwete ni muelewa na kwa kuwa sasa ni "mzee" mstaafu tena mwenye busara sana, ni wakati muafaka upinzani umuone ili wakwamuke walipokwama.

Kikwete ni kipenzi cha wote na nnauhakika upinzani mna mengi ya kujifunza kwake, msichoke nendeni mkachote.

Sii kosa lako lazima utakuwa na lako jambo haiwezekani | Alaf naona bweha kibao eti naounga hoja
 
Sii kosa lako lazima utakuwa na lako jambo haiwezekani | Alaf naona bweha kibao eti naounga hoja

Sentensi yako ya pili haieleweki. Rudia.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kwahiyo JK awafundishe jinsi ya kupambana na JPM?...bado analindwa yule ni "fisadi mstaafu"
 
Lowassa si mpinzani, alitemwa CCM akanunua kugombea Urais chadema, Mbowe kala mshiko mrefu, cheza na mchagga wewe?
kwa mtazzmo wako wapinzani ni nani basi?....nahisi kama unajuta kusifia kisichopaswa kusifiwa
 
kwa mtazzmo wako wapinzani ni nani basi?....nahisi kama unajuta kusifia kisichopaswa kusifiwa

Ikiwa huelewi "wapinzani ni nani", sina cha kukusaidia kwa hilo.

Ujinga wako ndiyo maradhi yako.
 
Ikiwa ukisoma huelewi basi hata picha huoni?

CDM7.jpg

Nendeni tu mkamuombe hikma zake na kudeka kama mlivyokuwa mkideka alipokuwa Ikulu.
Aisee kwenye hii picha Tundu Lisu amefurahi mpaka basi.Ana bahati hajawahi kung'olewa meno na kucha
 
Sentensi yako ya pili haieleweki. Rudia.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Na unabahati wale mapadri hawakukuona enzi zile za kombolela | DJ wa klabu ya usiku anasafisha dhambi na kuweza kumfanya
"shetani kuwa Malaika
 
Kama nilivyowahi kuandika uzi huu, Shukran Rais Kikwete Kwa Kuwapa Darsa la Siasa Upinzani..., sasa nnawakumbusha tena upinzani kuwa warudi kwa Kikwete akawape darsa vipi wakabiliane na hali ya kisiasa inavyokwenda kwa sasa nchini. Na vipi wao kama upinzani wakabiliane nayo.

Kikwete ni muelewa na kwa kuwa sasa ni "mzee" mstaafu tena mwenye busara sana, ni wakati muafaka upinzani umuone ili wakwamuke walipokwama.

Kikwete ni kipenzi cha wote na nnauhakika upinzani mna mengi ya kujifunza kwake, msichoke nendeni mkachote.
Ni aibu kwao,tutazidi kuunganisha matukio tu sisi,maana hua hawaeleweki,waliwaponda hua wanarudi kuwasafisha na kuwatetea,subili wataenda tu bado wanaingiza gia
 
Wewe hakuwa na bahati, pole sana. Wa "sue" upate japo kifutia machozi kama walivyofanya wahanga wa US.

Zitakukaa tu twende kwani kipindi kile cha kombolela ulicheza na nani ? Mimi nlicheza na batuli na alipata wakati mgum kweli
 
Zitakukaa tu twende kwani kipindi kile cha kombolela ulicheza na nani ? Mimi nlicheza na batuli na alipata wakati mgum kweli

Ulisoma seminari ipi ya kikatoliki nikuunganishe na wanasheria wanaoweza kukusaidia. Usikate tamaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom