Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Kama nilivyowahi kuandika uzi huu, Shukran Rais Kikwete Kwa Kuwapa Darsa la Siasa Upinzani..., sasa nnawakumbusha tena upinzani kuwa warudi kwa Kikwete akawape darsa vipi wakabiliane na hali ya kisiasa inavyokwenda kwa sasa nchini. Na vipi wao kama upinzani wakabiliane nayo.
Kikwete ni muelewa na kwa kuwa sasa ni "mzee" mstaafu tena mwenye busara sana, ni wakati muafaka upinzani umuone ili wakwamuke walipokwama.
Kikwete ni kipenzi cha wote na nnauhakika upinzani mna mengi ya kujifunza kwake, msichoke nendeni mkachote.
Hapa Tundu Lisu akiwa wa kwanza kukimbilia Kahawa Ikulu, huku Baregu akikodolea macho, hiki ndicho wanachokikosa akina Tundu Lisu!