Wapinzani Kamuombeni Msaada Kikwete

Wapinzani Kamuombeni Msaada Kikwete

Kwa uwelewa wako unazani macomrade waikina mdee,mbowe,lisu na wengne hawalijui hilo la jinsi ya kwenda na mwenendo wa kisiasa hapa nchin au kuna nafasi umehaidiwa teyari?

Kajifunze kuandika vizuri kabla hujaanza kupayuka na kubwabwaja bila mpango.
 
Kajifunze kuandika vizuri kabla hujaanza kupayuka na kubwabwaja bila mpango.
Bado hujajibu swali hivi hilo darasa lako la mkoloni,hujafundishwa jinsi ya kujibu hoja au ndio mmekunywa maji ya bendera(kijani)
 
Bado hujajibu swali hivi hilo darasa lako la mkoloni,hujafundishwa jinsi ya kujibu hoja au ndio mmekunywa maji ya bendera(kijani)

Nimeshindwa kulielewa swali lako kwani nilishindwa kukusoma, andika vizuri nikujibu.
 
Ikiwa ukisoma huelewi basi hata picha huoni?

CDM7.jpg



Nendeni tu mkamuombe hikma zake na kudeka kama mlivyokuwa mkideka alipokuwa Ikulu.
Check WASSIRA alivyo jiachia kwenye sofa anokodoa macho tuuu.... Kodoooo
 
Ni kama vile hatujui pa kusimamia, juzi tu hapa JK alipewa kila jina, leo he's a hero.

Kuna wakati nahisi watanzania hatujui nini tunataka.
Ile takwimu ya 1 kwa 4 haipo sahihi. Naamini ile ni 4 kwa 4.
 
Yaani kwako kiongozi mzuri ni wa dini yako.. Huu ni utawala wa Magu lakini wewe bado upo kwa kikwete na Dau..
 
Ikiwa ukisoma huelewi basi hata picha huoni?

CDM7.jpg



Nendeni tu mkamuombe hikma zake na kudeka kama mlivyokuwa mkideka alipokuwa Ikulu.

Tundu Lissu anafuraha kakutana na Gwiji la Siasa Nchini mpaka Koromeo linaonekana!
 
Hakuna Kiongozi alie Wahi kutokea katika Aridhi ya Tanzania mwenye Busara na Hekima kama E. LOWASSA.
 
Kama hakuna kiongozi aliewahi kutokea mwenye hekima na busara kama Edo mbona Nyerere alisema tumuogope hafai sasa we busara umeziona wapi.
Kipindi anapigwa chini na kujiuzuru bila kupenda maneno alioongea kwenye risala zake yangekuwa na busara asingelalamika.
Alipo pigwa chini CCM alilopoka tena bila aibu kuwa CCM sio lolote wala si chochote wakati mpaka wewe mpinga ukweli unamfahamu kupitia CCM alishindwa nini kutoka huko kwa busara bila kuropoka?
Wanao mjua hafai ndio hao walio mkataa kila mahali alibakizwa kwenye chama kwa kuhurumiwa tu alipaswa atumie busara kama za Dr Slaa akajichimbie kimya uku anachunga ng'ombe wake
 
Naona bibi yetu analose control, nyuzi zake zimejaa ugoro tu na chembechembe za udaga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom