johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,120
Umeuliza swali zuri sana.......Yaani hao ndio wanahitaji siku mbili za kupiga kura? Ama kweli...
vipi, ni askari kiasi gani kati ya hao 566,000 watashiriki?
Mamluki wa Kitanganyika mmewapachika wangapi ?Tume ya uchaguzi Zanzibar imesema wapiga kura takribani 566,000 ndio watakaoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.
Idadi hiyo inajumuisha wapiga kura wa Visiwa vya Unguja na Pemba waliojisajiri kwenye daftari la kudumu
Source ITV habari.
Maendeleo hayana vyama!
Sawa na kata ya mchafukoge. Kweli my Kesi huduma kweli kuwa ukipiga filimbi Zanzibar yote wanakusanyika.Tume ya uchaguzi Zanzibar imesema wapiga kura takribani 566,000 ndio watakaoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.
Idadi hiyo inajumuisha wapiga kura wa Visiwa vya Unguja na Pemba waliojisajiri kwenye daftari la kudumu
Source ITV habari.
Maendeleo hayana vyama!
Subiri NEC waje wakusaidie! Au NBS wanaweza kukusaidia!Hao ni jimbo moja au mawili huku Bara
Aisee hii nilikuwa siijui, kwamba Pemba ni kisiwa na Unguja ni bara!Unguja wanasema Pemba ni kisiwani, kwamba watu wa visiwani hawajajiandikisha kupiga kura.
Sasa itakuwaje kwa Maalim na Membe?Aisee hii nilikuwa siijui, kwamba Pemba ni kisiwa na Unguja ni bara!
Yaani hao ndio wanahitaji siku mbili za kupiga kura? Ama kweli...
vipi, ni askari kiasi gani kati ya hao 566,000 watashiriki?
Mamluki wa Kitanganyika mmewapachika wangapi ?
Ally Kessy mbunge wa Nkasi alisema Zenji ukipiga filimbi watu wote wanasikia. Pia alisema Zenji unaweza zunguka kwa baiskeli.
Nimeanza kuamini haya maneno.
Watu laki tano tuu ndo wapiga kura.
Yule baradhuli wa Nkasi Ali kesi akeshalewa anakuja na mananeo yake ya kejeli against znz. tunamkaribisha mchamba wima na malindi tumchezee sumsumia
Ndiyo Mabodi anasema hivyo. Kwamba ccm bara- unguja hawana tatizo, ila huko visiwani-pemba ndio kuna shida.Aisee hii nilikuwa siijui, kwamba Pemba ni kisiwa na Unguja ni bara!
Rais Mwinyi kachagua ma DC 10 kwenye hako ka nchi,hesabu hapo ma VXR-V8 10,bado ma RC hajateua.Ally Kessy mbunge wa Nkasi alisema Zenji ukipiga filimbi watu wote wanasikia. Pia alisema Zenji unaweza zunguka kwa baiskeli.
Nimeanza kuamini haya maneno.
Watu laki tano tuu ndo wapiga kura.