Zanzibar 2020 Wapiga kura 566,000 kushiriki Uchaguzi Mkuu Zanzibar!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,752
139,552
Tume ya uchaguzi Zanzibar imesema wapiga kura takribani 566,000 ndio watakaoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.

Idadi hiyo inajumuisha wapiga kura wa Visiwa vya Unguja na Pemba waliojisajiri kwenye daftari la kudumu

Chanzo: ITV habari.

Maendeleo hayana vyama!
 
Yaani hao ndio wanahitaji siku mbili za kupiga kura? Ama kweli...
vipi, ni askari kiasi gani kati ya hao 566,000 watashiriki?
 
Na polisi pia wamo kwenye orodha hii?

Vituko duniani haiishi eti uchaguzi unachukua siku mbili wanaanza polisi kwanza na watumishi wa ZEC, hivi huku bara polisi hawapigi kura ?
 
Ally Kessy mbunge wa Nkasi alisema Zenji ukipiga filimbi watu wote wanasikia. Pia alisema Zenji unaweza zunguka kwa baiskeli.
Nimeanza kuamini haya maneno.
Watu laki tano tuu ndo wapiga kura.
 
Tume ya uchaguzi Zanzibar imesema wapiga kura takribani 566,000 ndio watakaoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.

Idadi hiyo inajumuisha wapiga kura wa Visiwa vya Unguja na Pemba waliojisajiri kwenye daftari la kudumu

Source ITV habari.

Maendeleo hayana vyama!
Sawa na kata ya mchafukoge. Kweli my Kesi huduma kweli kuwa ukipiga filimbi Zanzibar yote wanakusanyika.
 
Unguja wanasema Pemba ni kisiwani, kwamba watu wa visiwani hawajajiandikisha kupiga kura.
 
Yaani hao ndio wanahitaji siku mbili za kupiga kura? Ama kweli...
vipi, ni askari kiasi gani kati ya hao 566,000 watashiriki?

Hii data inatia mushkeli sana. Inaonesha kuna askari wengi wameajiriwa na kusajiliwa kwenye dafteri kwa ajili hiyo tu. Ni vyema comparative figure ya mwaka 2015 ikawekwa bayana ili kuangalia trend. It's highly dubious hizo data na zinaonesha uwezekano wa mapishi ktk voters register ya zenj. Kwa walioko znz, kila chochoro ya znz kumefunguliwa kambi za janjaweed / mazombie na ukiuliza utaambiwa hawa ni vijana wa kambi za vijana, JKU , KMKM upumbavu mtupu. Ni matayarisho ya wizi wa kura tu. Kwa wale walio na data za waliosajiliwe kwenye dafter la wapiga kura mwaka 2015 atuwekee hapa tuione ili tulinganishe na hiyo figure ya 2020 ya waliosajiliwa.
 
Mamluki wa Kitanganyika mmewapachika wangapi ?

Hakika ndugu yangu angalai hiyo tarakimu inatisha. inamaana kuwa zaidi ya 43% ya wazanzibari wameandikishwa kupiga kura? Haingii akilini . kuna kamchezo mchafu hapo kwenye hiyo figure. kama niko sawa, ikiwa population ya wazanzibari ni 1, 300,000 basi, 43.53% ya wazanzibari ni voters. Inaingia akilini kweli Hapo? cheza na mahesabu hapo.
 
Ally Kessy mbunge wa Nkasi alisema Zenji ukipiga filimbi watu wote wanasikia. Pia alisema Zenji unaweza zunguka kwa baiskeli.
Nimeanza kuamini haya maneno.
Watu laki tano tuu ndo wapiga kura.

Yule baradhuli wa Nkasi Ali kesi akeshalewa anakuja na mananeo yake ya kejeli against znz. tunamkaribisha mchamba wima na malindi tumchezee sumsumia
 
Yule baradhuli wa Nkasi Ali kesi akeshalewa anakuja na mananeo yake ya kejeli against znz. tunamkaribisha mchamba wima na malindi tumchezee sumsumia

Sasa Kessy ana kosa gani watu mko laki tano mnaleta kelele afadhali muwe mkoa tu habari za nchi hamuwezi ninyi
 
Ally Kessy mbunge wa Nkasi alisema Zenji ukipiga filimbi watu wote wanasikia. Pia alisema Zenji unaweza zunguka kwa baiskeli.
Nimeanza kuamini haya maneno.
Watu laki tano tuu ndo wapiga kura.
Rais Mwinyi kachagua ma DC 10 kwenye hako ka nchi,hesabu hapo ma VXR-V8 10,bado ma RC hajateua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom