Makanyaga Platinum Member Joined Sep 28, 2007 Posts 11,811 Reaction score 7,561 Nov 5, 2019 #1 Naomba tafadhali kama kuna mtu humu jukwaani anayejua sehemu ambayo wanauza Battery Mpya za Laptop hapa Dar, anijuze. Mubarikiwe na Bwana
Naomba tafadhali kama kuna mtu humu jukwaani anayejua sehemu ambayo wanauza Battery Mpya za Laptop hapa Dar, anijuze. Mubarikiwe na Bwana
N nyumbamungu JF-Expert Member Joined Mar 3, 2017 Posts 1,034 Reaction score 900 Nov 5, 2019 #2 Dar unapatikana wilaya gani?
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,404 Reaction score 29,811 Nov 5, 2019 #3 Makanyaga Nenda maduka ya computer mitaa ya kisutu.. Achana na kariakoo.
Makanyaga Platinum Member Joined Sep 28, 2007 Posts 11,811 Reaction score 7,561 Nov 6, 2019 Thread starter #4 nyumbamungu said: Dar unapatikana wilaya gani? Click to expand... Niapatikana Keko Magurumbasi