bongonyoo
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 604
- 881
mkuu una madini kinoma,,tafadhali naomba mawasiliano yako unitumie PM nikucheki unielekeze mambo flani flaniMwambie aende veta ajisajili kwaajili ya gari kubwa watamfundisha ila wanatumia scania kipisi semi trailer hawana,pili kupata mtu wakukufundisha kwenye lorry wakati wa kwenda safari sikuizi inakuwa ngumu kiasi maana matjiri wengi wananunuwa magari mapya na huwa tunawapeleka madereva kusomea kozi fiupi kabla ya kuwa kabidhi magari hayo efficient cose,shida yetu hatuna mfumo mzuri wakuandaa madereva kwa nchi yetu,kila siku huwa nawauliza NIT kwanini hawana mfumo wa kupika madereva tokea chini?